Tigo Jipangeni Kwanza ndio muanze kupiga kelele

Sasatel ndo mambo yote, hawavumi lkn wamo. Dar nzima inafikika, mtandao wa watu wa mujini.
 
haaaaaaaaaa..... ambili badilisha jina uwe amoja eti wakikuita kwa kienglish unaitwa atwo then atu?
nway wewe c mzee wa nternet cafe? huwezi jua thaman za mb. leave me alone

he! kweli asiye jua maana haambiwi maana, airtel wanatoa mb 400 kwa sh 2500, so ukiwa na elfu kumi unaweza kutumia mb 1600.
haya endelea kung'ang'ana na hizo mb zako 500 maana umeziona nyingi kuliko mb 1600
 
aah mizinguo,ila wote hawana unlimited download,hizo mb zina bana sana wandugu,hapa inshu ni kupata unafuu yaani unlimited kwa cheap price aisseee.mwenye nyuzi plz?
 
inaweza ikawa kwel na inaweza ikawa co kwel ila ninaona kila mtandao upo na udhaifu furan kwenye huduma furan. Hii inatokana na didad ya wa2 na wa2miaji wa mtandao huo kupitia huduma hyo au maandaliz ya hyo huduma kuwa hafifu. Unaposema ukiwa city center huduma hyo ipo juu hyo ni tabia ya mitandao yote kuwa hvyo mana asilimia kubwa ya mitandao makao makuu yake yapo post 2ache hlo hata wa2miaji weng wanapatikana huko na hvyo hvyo unapotoka nje kidogo ya mji wa2miaj hupungua hvyo co tigo 2 ambao wanatatzo hlo bal ni MITANDAO YOTE kwaujumla mfano umesikia loliondo airtel ndo imefika hv karibun so hli tatzo co la tigo 2 wanaitaji kujipanga bal ni mitandao yote ndo inaitaji kujipanga sawa kaka msiwalaumu khs hlo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom