Tigo Jipangeni Kwanza ndio muanze kupiga kelele

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Tigo wanapiga sana kelele kuhusu huduma yao mpya ya data, msiingie mkenge hawa jamaa bado hawajajipanga, coverage ni ndogo sana, ukiwa maeneo karibu na city center hamna shida, lakini ukishatoka nje kidogo kama maeneo ya mbezi, tegeta, kigamboni, mbagala coverage haijafika pia ukitumia kidogo unapa msg eti umeshafika kiwango cha download limit speed itapungua, TIGO JIPANGENI kwanza ndo muanze kupiga kelele
 
mambo zantel, vere chip, eg 500mb kwa elf ten tu ama kwa mwezi ama kwa wiki
 
500 Mb kwa elfu kumi? na ina-expire baada ya muda gani? maana airtel huwa wanatoa bonus ya MB 200 lakini unaitumia saa sita usiku hadi kumi na mbili asubuhi na kwa usiku mmoja tu inakua ime-expire sasa si bora usinipe kabisa aisee!
 
mkuu fafanua hii kitu tafadhali, ina maana hata kama sina pesa kwenye line yangu nta weza kupata hizo 200Mb ? na je, hii bonus ipo kila siku?
 
kama una modem ya zantel weka vocha ya sh elf kumi, then kwa kutumia line yoyote ile i.e tgo, zain au voda nenda kwa message
andika hivi 077xxxxxx(number ya modem yako) nafasi then Z-MONO tuma kwenda 0776300300 utapata ujumbe kuwa umenunua
500MB utatumia kwa muda wa mwezi mzima
 
hizo 200mb unazipata ukiongeza salio tu,na unatumia ucku 4rom saa sita up to saa kumi na mbili.out of that zitakuwa zime expire
 
kama una modem ya zantel weka vocha ya sh elf kumi, then kwa kutumia line yoyote ile i.e tgo, zain au voda nenda kwa message
andika hivi 077xxxxxx(number ya modem yako) nafasi then Z-MONO tuma kwenda 0776300300 utapata ujumbe kuwa umenunua
500MB utatumia kwa muda wa mwezi mzima

Na hiyo elfu kumi yako itakuwa imeliwa au utaendelea kuwa nayo? na number ya modem unakusudia model number au namba ya simu ya modem yenyewe
 
tehe tehe, hivi wewe m2 akikuomba namba yako ya simu unampa ipi? afu ukinunua salio let say la 1000 hiyo elfu moja una baki nayo?
nadhani huelewi maana ya kununua
 
Jamani naombeni mnijuze jinsi ya kutumia modem ya Airtel na line zingine kama za voda na tigo, inanisumbua kweli kweli maeneo mengine haishiki, halafu uwezo wa kununua kila modem haupo kama mnavyojua maisha bora kwa kila mtanzania.
 
mkuu mie pia cjui namna airtel modem inavyointeract na line zingine,pia nasubiri kuchabo watakavyokujibu
 
Utakoma, wakini PM utapata wapi jibu.
Hahaha uciogope nitakupa nami kaujuzi kama nikipata (nishawahi kuona humuhumu jamaa anaelezea vitu kama code ivi, lakini ile thread sijui iko wapi).
 
tehe tehe, hivi wewe m2 akikuomba namba yako ya simu unampa ipi? afu ukinunua salio let say la 1000 hiyo elfu moja una baki nayo?
nadhani huelewi maana ya kununua
elfu kumi kwa mb 500 wizi mtupu!
 
hii ni kazi ya maafisa masoko wa makampuni husika. kama mteja unakerwa na huduma ya kampuni yako ya simu unaruhusiwa kutoa ushauri kama mdau. lakini kwa njia hii si sahihi.
 
elfu kumi kwa mb 500 wizi mtupu!
haaaaaaaaaa..... ambili badilisha jina uwe amoja eti wakikuita kwa kienglish unaitwa atwo then atu?
nway wewe c mzee wa nternet cafe? huwezi jua thaman za mb. leave me alone
 
mkuu fafanua hii kitu tafadhali, ina maana hata kama sina pesa kwenye line yangu nta weza kupata hizo 200Mb ? na je, hii bonus ipo kila siku?

hii bonus ipo kila siku, ukitumia simu kufika kiwango flani wanakutumia msg kwamba umepata bonus, mi imenitokea mara mbili sasa, ila lazima utumie hiyo bonus kuanzia saa sita hadi kumi na mbili asubuhi
 
500 Mb kwa elfu kumi? na ina-expire baada ya muda gani? maana airtel huwa wanatoa bonus ya MB 200 lakini unaitumia saa sita usiku hadi kumi na mbili asubuhi na kwa usiku mmoja tu inakua ime-expire sasa si bora usinipe kabisa aisee!

airtel 400 mb ndani ya mwezi mzima 24hrs kwa Tshs. 2500
 
elfu kumi kwa mb 500 wizi mtupu!

tena wizi mtupu......airtel 400mb shs 2500 na kizuri zaidi kama unatumia Linux na laptop ina bluetooth ni kununua tu hizo mb kwenye simu yako na kuwasha simu kama ina bluetooth unajimuvuzisha kama kawa....si lazima ununue modem
 
airtel 400 mb ndani ya mwezi mzima 24hrs kwa Tshs. 2500
airtel ipi? ama labda mkoa na mkoa, mie nshaongea na customer care wakaniambia
full data ya mwezi mmoja ni sh elf 70. na minimum cost ni sh 15000 kwa wiki ambapo unapata mb 200.
nijuze zaid namna ya kupurchase 400mb kwa 2500
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom