TIGO: Je sauti za Kujulisha Salio kwenye Mtandao wa Tigo nikama vile za Mashoga?

M.L.

Senior Member
Feb 11, 2012
185
119
Binafsi kuna jambo linanikera sana paale ninaposikia sauti kwenye simu yangu (mtandao wa Tigo) inayonijulisha salio langu kwenye simu. Sikereki kujulishwa, bali nakerwa na sauti ya mtu kama vile shoga hivi.Yamkini, sio kabisa kuwa sauti ya shoga ila, Binafsi, ningependa ibadilishwe.
 
cjaingia cku mingi JF.

kumbe jukwaa la siasa siku hizi tunapost kila kitu.

duh!

napita
 
Halafu kajuaje kama ile ni sauti ya shoga kama hana interaction na hao Jamaa, na kama ana interaction nao,nini kinamkera.
Mwisho kabisa, Moods ondoeni hii threds humu,inatuchefua kama anavyochefuliwa na sauti za Jamaa zake tigo
 
Umeongea ki2 cha mhimu lakini ngoja waje wakiiona wataitoa sasa hivi.
 
Back
Top Bottom