Nina modem ya Tigo na nipo Handeni.Strength ni strong lakini upload na download ni Zero.
Hapa hakuna internet cafe,naombeni msaada waungwana.
asante sana.Nimejaribu airtel nayo ni EDGE lakini angalau niliweza ku attach doc.Kijana kutoa tanga mjini mkoa wetu wa tanga tigo 3g hamna. Hapo unaona full lakini ni edge.
Korogwe wao wana 3g ya airtel sjajua kama handeni ipo nakushauri test airtel la sivyo utakesha