Tigo huduma kwa wateja siwapati

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
JF!Kwa kawaida mitandao ukiwa na shida unapiga 100.Jana wameniiba 500.Napiga hakuna panapoonesha kuongea nao.Nifanyeje?
 
Mkuu unashangaa kuibiwa shs. 500, mimi kila baada ya wiki nakatwa shs. 300 kwa huduma ya tigo beatz, wakati hata sijaomba huduma hiyo, mbaya zaidi kuna siku nilikatwa shs. 300 eti kwa wimbo, wimbo wenyewe Quasida wakati mm mwenyewe mla "mbuzi RC" je huu si wizi.

Wenzao Vodacom wameweka huduma kama hiyo na huduma ya ONDOA kama huihitaji tena. Na hata ukiwapigia simu kutaka kujua jinsi ya kujitoa hawapokei simu.

Utapeli huu mpaka lini Kampuni ya simu Tigo????? Tumechokaaaaaa.
 
kaka hamia airtel hao,vimeo.Ukitaka kuwapata unafanya hivi;
1.unapiga namba 100 utasikiliza blabla zao hadi mwisho huwezi kuzikata.
2.kisha mwisho watakwambia ukitaka blabla bonyeza 2,ukitaka blabla bonyeza 3,kisha watakwambia ukitaka huduma nyinginezo bonyeza reli #,utaponyeza reli.
3.baada ya kubonyeza reli watakupa blabla bonyeza 1-8 cjui.Kisha watakwambia kuongea na huduma kwa mteja bonyeza 9 ,bonyeza tisa 9 utawapata wape vidonge vyao ujihadhari lakini wananyodo hao...
Wanalalamikiwa hata na customer care(hawaunaonana nao ana kwa ana ukienda ofc za tigo) wenyewe hao wanawaita call center,ni washenzi ajabu!....
 
Nyakwec's bro &wadau wote!Asnte.Ngoja nitumie njia hiyo na kisha nitangaze kuihama tigo kwani Mb 50 zenyewe Zembwela tu!
 
JF!Kwa kawaida mitandao ukiwa na shida unapiga 100.Jana wameniiba 500.Napiga hakuna panapoonesha kuongea nao.Nifanyeje?
Utawapata vipi na hawapo BOSS....hiyo TIGO imebakiza mafuvu tu nafikiri inaelekea kufa.....wezi wao,mitambo mibovu wao......kila kibovu wao wanamatangazo mazuri kuliko huduma zao
 
Back
Top Bottom