TIGO haya ndio Malipo ya Ofa yenu?

Acheni makelele na manung'uniko nani aliwaambie muwe na mitandao inayoishia magomeni. Kwanza CLICK Down here to help your brother
 
Kitu kikishaitwa OFA unatakiwa ujifikirie mara 2 kukubaliana nacho au kukitumia c lazima ukubaliane nacho...tunawaponda sana tigo LAKINI WAKISEMA WANAACHA KUTOA SERVICE SIJUI ITAKUWAJE!!!!!!!
 
Kitu kikishaitwa OFA unatakiwa ujifikirie mara 2 kukubaliana nacho au kukitumia c lazima ukubaliane nacho...tunawaponda sana tigo LAKINI WAKISEMA WANAACHA KUTOA SERVICE SIJUI ITAKUWAJE!!!!!!!

Mi sijaomba hata ofa hebu soma vizuri post na claim yangu!
 
Wala usirudi nyuma kwa hilo maana sasa wamekuwa provider wa disaster!
 
tigo wahuni na siku izi ukipiga tigo kwenda tigo wanachaji ela nyingi bora kupiga voda kwenda airtel!
 
Hapa kuna watu wasaliti, tumeshapanga kuigomea hii kampuni.
 
Hapa kuna watu wasaliti, tumeshapanga kuigomea hii kampuni.

Ndiyo mkuu, umeona unafiki huu?
Hii kitu tulishaijadili sana na tukafikia muafaka kwamba tunawasusia. Binafsi mimi niliishaachana nao tangu kipindi kile.
Nashangaa tena tunajadili kitu hiki. Ndivyo watanzania tulivyo, wa kwanza kulalamika lakini linapokuja swala la kuchukua hatua kila mtu anasepa.
 
Back
Top Bottom