tiGO & Fiesta: Huu ni wizi usiovumilika

Amakando

Senior Member
May 9, 2011
158
27
Wadau nasikitika kuwa kampuni ya simu ya mikononi Tigo wanakata fedha katika simu kila wanapotuma SMS zao juu ya ujio wa Rick Ross kwenye tamasha la fiesta.

Binafsi sijaomba kupewa taaarifa zozote juu ya Tamasha hilo, nimepiga simu na kutoa taarifa customer care ambapo kila mara nimekuwa nikielezwa kurekodi malalamiko yangu lakini hakuna majibu yeyote toka kwao, inaniuma sana na nasikitika shilingi mia kwa kila mteja wa kampuni hii kuondoka pasipo hiyari ni wizi.

Je, Clouds wanashiriki kupora hela zetu pamoja na tiGo ili iweje?

Wadau ina maana hata shughuli mbalimbali za kisiasa kampuni hii hutuibia ili kuzifadhili?
 
na jinsi serikali yetu inavyofanya kazi kwa umakini najua hili hawajiona maana wapo busy kwenye uchaguzi wa chama cha majambazi
 
tigoooooooooooooo rahasana.......... wanasema bei hii.. wanakata beitofauti kabsa.......... kweli huu ni mtandao wa mabwepande...........
 
Wadau nasikitika kuwa kampuni ya simu ya mikononi Tigo wanakata fedha katika simu kila wanapotuma SMS zao juu ya ujio wa Rick Ross kwenye tamasha la fiesta.

Binafsi sijaomba kupewa taaarifa zozote juu ya Tamasha hilo, nimepiga simu na kutoa taarifa customer care ambapo kila mara nimekuwa nikielezwa kurekodi malalamiko yangu lakini hakuna majibu yeyote toka kwao, inaniuma sana na nasikitika shilingi mia kwa kila mteja wa kampuni hii kuondoka pasipo hiyari ni wizi.

Je, Clouds wanashiriki kupora hela zetu pamoja na tiGo ili iweje?

Wadau ina maana hata shughuli mbalimbali za kisiasa kampuni hii hutuibia ili kuzifadhili?

Mkuu acha uongo, mbona wenzio hatuja katwa. Angalie service zako nyingine ulizo jisajili.
 
Wadau nasikitika kuwa kampuni ya simu ya mikononi Tigo wanakata fedha katika simu kila wanapotuma SMS zao juu ya ujio wa Rick Ross kwenye tamasha la fiesta.

Binafsi sijaomba kupewa taaarifa zozote juu ya Tamasha hilo, nimepiga simu na kutoa taarifa customer care ambapo kila mara nimekuwa nikielezwa kurekodi malalamiko yangu lakini hakuna majibu yeyote toka kwao, inaniuma sana na nasikitika shilingi mia kwa kila mteja wa kampuni hii kuondoka pasipo hiyari ni wizi.

Je, Clouds wanashiriki kupora hela zetu pamoja na tiGo ili iweje?

Wadau ina maana hata shughuli mbalimbali za kisiasa kampuni hii hutuibia ili kuzifadhili?

tuseme ww ndio wameona unasalio la kupunguziwa kila cku au? Kama ni kweli na hayo malalamiko yako tambua nchi ishauzwa cku nying, kila mwny nacho ashajikatia pande lake, sasa kila mtu anakula urefu wa kamba zake bahati mbaya kwao na nzuri kwetu kwamba mwsho wao ushaanza kunukia. Hata hizo huduma za NET tunalambwa tuu,ipo cku watarudisha kila senti yangu wanayoitumia kiwizi wizi kwenye mitandao ya cmu, omba icmkute aliyeko sasa hiv!!!!!!!11
 
Back
Top Bottom