Tigo customers services balaa

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
Hii ni wiki takriba ya 3 na jaribu kutuma SMS kwenda nje ya nchi South Africa/USA bila mafanikio,niki tuma SMS kwenda South ina kwenda na nakatwa pesa kwenye simu ila haifiki kwa muusika aliyetumiwa,kwa upande wa USA ina goma kabisa kwenda na inanionyesha alama ya X badala ya tick...Nimejaribu kupiga namba 100 ya Customer services bila mafanikio yoyote jibu ninalo lipata ni kwamba ni "Akikisha namba unayo piga na upige tena" Swali: hawa jamaa wamebadilisha namba ya huduma kwa wateja au ndio wametuchoka wateja wao? Najuta kujiunga na huu mtandao!
Wadau wa JF je kuna mtu yoyote amekumbana na tatizo kama la kwangu?
 
Tigo imeoza kabisaaaaa,
sms za ndani tunakatwa pesa na wala haziendi kwa walengwa,
what kind of utapeli is this?
Shame on you.
 
mwenzeni sijawi kubahatika kuunganishwa huduma kwa wateja....natumia postpaid kuna namba walinipa y ahuduma kwa watje nikipiga napata responce kama hiyo mkuu....cheap is indeed expensive!!!!!!!
 
Ukija kwa upande wa internet ndio usiseme kabisa unaweza kutumia 1 mb ukashangaa umekatwa zaidi ya mia nane kwa mb 1 huu ni wizi jamani
 
Hii ni wiki takriba ya 3 na jaribu kutuma SMS kwenda nje ya nchi South Africa/USA bila mafanikio,niki tuma SMS kwenda South ina kwenda na nakatwa pesa kwenye simu ila haifiki kwa muusika aliyetumiwa,kwa upande wa USA ina goma kabisa kwenda na inanionyesha alama ya X badala ya tick...Nimejaribu kupiga namba 100 ya Customer services bila mafanikio yoyote jibu ninalo lipata ni kwamba ni "Akikisha namba unayo piga na upige tena" Swali: hawa jamaa wamebadilisha namba ya huduma kwa wateja au ndio wametuchoka wateja wao? Najuta kujiunga na huu mtandao!
Wadau wa JF je kuna mtu yoyote amekumbana na tatizo kama la kwangu?

Pole mkuu kwa maswahibu ya express yourself!!

Mi natumia tigo lakini sijawahi kukumbana na matatizo kama yako, huwa natuma sms kwenda India, Russia na China bila shida yoyote.

hilo la customer care kwa kweli ni tatizo la siku nyingi sio leo wala jana, mie nilishaacha kupiga customer care miaka mingi sana baada ya kuona ni usanii mtupu.
 
Imenitokea pia, japo ni mwezi uliopita. SMS kwenda USA hazikwenda hata baada ya kujaribu tena siku mbili baadae. Kwa hiyo inaonesha tatizo bado lipo.

Tofauti kidogo kwangu - ujumbe niliotuma S. Africa ulifika.
 
Mkuu tatizo liko kwa hizi nchi mbili nilizo zitaja hapo juu, nikituma UK zina kwenda bila tatizo lolote. Tigo walikuwa na huduma nzuri sana ila kwa sasa wana boa sana,ni bora kuhamia Zantel angalau hawa wako makini kwenye huduma zao za mtandao.
 
Imenitokea pia, japo ni mwezi uliopita. SMS kwenda USA hazikwenda hata baada ya kujaribu tena siku mbili baadae. Kwa hiyo inaonesha tatizo bado lipo.

Tofauti kidogo kwangu - ujumbe niliotuma S. Africa ulifika.
kwa South Africa kwangu una kwenda haumfikii mlengwa ,labda inategemea unayemtumia anatumia mtandao gani ila nimesikia watu kama wa wili hivi nao wakizungumzia tatizo kama la kwangu.
 
Hii ni wiki takriba ya 3 na jaribu kutuma SMS kwenda nje ya nchi South Africa/USA bila mafanikio,niki tuma SMS kwenda South ina kwenda na nakatwa pesa kwenye simu ila haifiki kwa muusika aliyetumiwa,kwa upande wa USA ina goma kabisa kwenda na inanionyesha alama ya X badala ya tick...Nimejaribu kupiga namba 100 ya Customer services bila mafanikio yoyote jibu ninalo lipata ni kwamba ni "Akikisha namba unayo piga na upige tena" Swali: hawa jamaa wamebadilisha namba ya huduma kwa wateja au ndio wametuchoka wateja wao? Najuta kujiunga na huu mtandao!
Wadau wa JF je kuna mtu yoyote amekumbana na tatizo kama la kwangu?

Pole sana aluu.
Nami nilim2mia m2 wangu kwenda South Afrika meseji juzi. Ikaandikwa delivered. Lakini wala haikumfikia mlengwa. Cheap z xpensiv kwa kweli.

Customer care hawajui ki2, wanatoa majibu hayaeleweki, halafu hawajui sometimes wanaongea na wa2 wanaojua hii teknologia. Majib ya kisiasa 2.
Hata mi nimeamua kuachakuwapigia customer care kabisa, hawasaidii chochote. Namba yao sio 100. Mimi hu2mia 15301. Sina uhakika lakin nadhan wanakukata shs 100 for the whole duration utakakapokua unaongea nao mpaka ukate.
Thanx.
 
Kwa karibu mwezi mzima sasa tigo ni taabu tupu. Mimi ni mtumiaji wa tigo tanu 1998 lakini nimekumbana na matatizo mengi kwa siku za karibuni ambayo hawayafanyii utatuzi wala kutuhabarisha wateja tuvumile kwa kipindi gani. Dawa naamia Zantel
 
Hiyo ndio suluhu zantel ni nafuu kuliko tigo especially ukitumia internet kwenye simu.

Wako makini sana na huduma wanazozitoa na customer care wanapatikana lakini itabidi uwe mvumilivu kidogo!!
 
Zantel ndio wenyewe mkuu kwa huduma ya internet wanaongoza tofauti na mitandao mingine .
 
mwenzeni sijawi kubahatika kuunganishwa huduma kwa wateja....natumia postpaid kuna namba walinipa y ahuduma kwa watje nikipiga napata responce kama hiyo mkuu....cheap is indeed expensive!!!!!!!

Mkuu

tupe gharama za postpaid kwa TIGO
 
mwenzeni sijawi kubahatika kuunganishwa huduma kwa wateja....natumia postpaid kuna namba walinipa y ahuduma kwa watje nikipiga napata responce kama hiyo mkuu....cheap is indeed expensive!!!!!!!
Welcome to the club "buddy", i said this last year september nikashukiwa kama mwewe...

tIGO customer service kwishnehi!
 
poleni mimi sijapata tatizo mwezi wa kumi na kumi namoja nilikua SA na nilikuwa napata sms kutoka hapa bongo kwa jamaa wenye tigo bila shida i was roamimg with my Tz vodacom chip while i was there!
 
Kwa kweli TIGO wanasikitisha, unaweza kuongea na simu inakatika bila sababu au inakoromaaa. Huu si mtandao nakwambia, wabaki wanafunzi tu wa sekondari kuutumia na extreme zao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom