natanguliza shukran zangu,lyn yangu ya tgo ime brock sa puk nilipoteza, je kuna njia nyngne kuzpata zaidi ya kuwapigia coz cna lyn ya tigo nyngne,plz help me
natanguliza shukran zangu,lyn yangu ya tgo ime brock sa puk nilipoteza, je kuna njia nyngne kuzpata zaidi ya kuwapigia coz cna lyn ya tigo nyngne,plz help me
Omba simu ya mtu anayetumia line ya tiGO then upige customer care and waeleze shidayako, watakusaidia ila unatakiwa uwatajie majina matano unayoyakumbuka na ambayo ulikuwa unawapigia mara kwa mara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.