yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
jaman hawa jamaa mi wananionea sana.simu yangu yapata mwezi sasa wananichukulia vocha zangu kwa muda wanaojiskia hata km haipigwi wala ctumi sms wala ctumii internet.nkiwauliza wanadai simu yangu yenyewe ndio inahizo setting za kukatwa pesa.sasa swali linakuja je mbona mi namiliki hii simu kitambo na haka katabia kamekuja sasa?halafu suala lingine ni kwamba ikiwa imebaki chini ya 500 inakua cwez kumpigia mtu tena simu naambia salio lako ni chini ya tsh 60 natakiwa kuongeza salio kabla ya kupiga simu.huu ni wizi na uhuni wa wazi.km kuna mtu wa tigo humu ndani awaambie wenzie huu co uungwana wananchi mnatutesa jaman.nafikilia kuhama mtandao tatizo watu wangu wengi wako tigo.