Tigo 4G ni hatari sana, Halotel ikae mbali sasa

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,180
1,276
upload_2016-4-30_7-6-55.png

upload_2016-4-30_7-13-16.png

upload_2016-4-30_7-17-19.png

Kama bado upo kwenye mtandao wa halotel 3G ondoka huko fasta njoo Tigo 4G speed yake hutajuta kamwe, jaribu leo uone kwa waliojaribu wanajua nini nachoseme, Halotel niliwapenda but 4G naipenda zaidi.

1Gb unadownload kwa 10 min, Sometimes speed inakwenda had 3mb/sec kwa aliotumia niko tayari kukosolewa.
 
4G TIGO kirando ipo? au unatuhamasisha kuhama bila kutupatia huduma?
 
Halotel amemaliiiiiza kabisa,ameingia hadi kule ambako mabasi/gari hazifikiiiiii yaani kijijini.Hiyo 4g kwanza ni huko Daasalama tuu
 
acha kupotosha wewe amna mtandao unaokuta Halotel,nimetumia tigo 4G inachagua maeneo ukiwa city center iko fresh ukiwa uku kwingine amna lolote lakn Halotel n sehem yoyote hadi kijijini inakimbiza mbaya

Sio kila mtu aliyepo JF yupo Dar au kwenye Kwenye miji mikubwa, nimeamua kuchukua 4G coz halotel ipo speed ya kawaida sana huku, kulikua na promoshen ya watu wa huo mtandao wanauza modem na line za 4g toka nimenunua cjajuta bado
 
mimi nilitumia 4G nikajuta ila hii Halotel sijuti
 
Kama bado upo kwenye mtandao wa halotel 3G ondoka huko fasta njoo Tigo 4G speed yake hutajuta kamwe, jaribu leo uone kwa waliojaribu wanajua nini nachoseme, Halotel niliwapenda but 4G naipenda zaidi. 1Gb unadownload kwa 10 min, Sometimes speed inakwenda had 3mb/sec kwa aliotumia niko tayari kukosolewa

Bila Shaka utakuwa Mgeni na downloading speed!! 3mb/sec unasema kubwa?
 
acha kupotosha wewe amna mtandao unaokuta Halotel,nimetumia tigo 4G inachagua maeneo ukiwa city center iko fresh ukiwa uku kwingine amna lolote lakn Halotel n sehem yoyote hadi kijijini inakimbiza mbaya
huku mbeya hiyo 4G ni majanga matupu,, network haipatikani kabisa ikipatikana ni dakika mbili inazima
 
Na inawezekana kabisa kwa maeneo ambayo huo mtandao tajwa haushiki halotel ikawa best lakin kwenye maeneo ambayo huo mtandao upo speed ni supersonic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom