Tiger woods hana demu wa kibongo pia alikuwa hatumii condom

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Bora mama huyu aanze mbele , mtu kula uroda kwa a porn star tena bila condom , kuna umuhimu gani wa kuishi naye? kawaida mtu akiwa hatumii condom hatotumia tuu na kama alicheat ata cheat tuu ,sawa kabisa kwa mama kuachana na huyu jamaa kwa usalama wake na watoto wake.

Pia ukicheki jamaa hakuwa na demu mbantu mademu wote aliotembea nao ni watasha tena wenye nywele za blonde
kuachwa na mke maana kaoa mapema so atakua na time ya kula mpaka ma changu wa Ibiza na hakuna atakaye muuliza . nathani its good for them

7171d1260882347-a-mistress.jpg
 
Attachments

  • wife.jpg
    wife.jpg
    33.2 KB · Views: 56
Kila mtua ana uhuru wa kuchagua jinsi ya kuishi maisha yake. Kwanini mnamlazimisha Tiger kuwa na demu wa kibongo?
 
Kila mtua ana uhuru wa kuchagua jinsi ya kuishi maisha yake. Kwanini mnamlazimisha Tiger kuwa na demu wa kibongo?

Ubaguzi wa rangi haupo kwa weupe tu! Hata sisi weusi ni wabaguzi! Tiger angekuwa mzungu afu akawa anawachukua weusi, hizi comments tusingezisikia kihivi! Miafrika Ndivyo Tulivyo!
 
Kila mtua ana uhuru wa kuchagua jinsi ya kuishi maisha yake. Kwanini mnamlazimisha Tiger kuwa na demu wa kibongo?

Duh mwanangu vijisent vyote hivyo hata mbantu mmoja hakuambulia jamaa nadhani ana tatizo na dada zetu
 
TATIZO LA WASWAHILI,wanadhan black americans wamepauka kama wao!
 
Duh mwanangu vijisent vyote hivyo hata mbantu mmoja hakuambulia jamaa nadhani ana tatizo na dada zetu

Hana tatizo lolote, amerithi toka kwa mmoja wa wazazi wake! Kama baba yake alikuwa mwafrika akaacha kuzaa na mwafrika mwenzie akaenda kuzaa na mzungu, iweje leo mshangae mtoto kurithi tabia ya baba yake ya kupenda wazungu?
 
bora mama huyu aanze mbele , mtu kula uroda kwa a porn star tena bila condom , kuna umuhimu gani wa kuishi naye? Kawaida mtu akiwa hatumii condom hatotumia tuu na kama alicheat ata cheat tuu ,sawa kabisa kwa mama kuachana na huyu jamaa kwa usalama wake na watoto wake.

pia ukicheki jamaa hakuwa na demu mbantu mademu wote aliotembea nao ni watasha tena wenye nywele za blonde
kuachwa na mke maana kaoa mapema so atakua na time ya kula mpaka ma changu wa ibiza na hakuna atakaye muuliza . Nathani its good for them

7171d1260882347-a-mistress.jpg

woods ameomba ushauri wako?
 
Ubaguzi wa rangi haupo kwa weupe tu! Hata sisi weusi ni wabaguzi! Tiger angekuwa mzungu afu akawa anawachukua weusi, hizi comments tusingezisikia kihivi! Miafrika Ndivyo Tulivyo!

tana afadhali hata wao wanabaguana weupe na weusi, sisi weusi kwa weusi utasikia "yule dada bomba kweli, mweupeeee" au "fulani angekuwa mweupe kidogo tu pale angekuwa moto wa kuotea mbali"

yaani hata weusi kwa weusi tayari tuna matabaka ati sijui mweupe, maji ya kunde, mweusi, mweusi tiii nk
 
Pia ukicheki jamaa hakuwa na demu mbantu mademu wote aliotembea nao ni watasha tena wenye nywele za blonde

7171d1260882347-a-mistress.jpg

So what kama mademu aliotoka nao ni wazungu? Akili nyingine zinanishangaza sana. Kuanza kuangalia rangi ya ngozi ya wanawake aliotoka nao ni ubaguzi uliojifichaficha. Shame on you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom