Tiger Woods aachana rasmi na mkewe

I am happy for Mr Tiger Wood! Kuishi na mwanamke anayekupa Xmas https://jamii.app/JFUserGuide lazima cheating itakuwepo. Maisha yanaendelea kama kawaida aweke mkazo kwenye golf....this world is full of nice bitches.

mnh utadhania ulikuwa unawaona chumbani kwao:mad2:
hata hivyo mbona hakutulia alipocheat na mwanamke wa pili,wa tatu wa nne...wa tano...etc
au wote walikuwa wanampa xmas https://jamii.app/JFUserGuide????
kucheat na wanawake 12 kume draw conclusion...
tiger sio mtu wa kusettle down na mtu...
he is bored easily,i wonder why did he get married if he knew this..????:mad2:
 
Hahahahaah hana simile TW! Kwa kuwa alikuwa ameowa ndo maana ilibidi tu awe anarudi for a Xmas https://jamii.app/JFUserGuide...huko kwingine alikuwa anatafuta the proper one LOL!
 
Lakini kama kweli Woods katika aliotembea nao, kulikuwa na mwanamke anapenda sana, nadhani na huyu mzungu walikuwa wanaishi kwa kuvumiliana. Ikishafika sehemu mtu ukachanganyikiwa na mwanamke wa nje ya ndoa, hakuna ubishi kuwa tayari ndoa inalazimishwa. Ziko nyingi za namna hii hata hapa bongo ambapo bwana akifika home anaona kama ameingia motoni lakini akiwa bar ni raha mustarehe.
 
Lakini kama kweli Woods katika aliotembea nao, kulikuwa na mwanamke anapenda sana, nadhani na huyu mzungu walikuwa wanaishi kwa kuvumiliana. Ikishafika sehemu mtu ukachanganyikiwa na mwanamke wa nje ya ndoa, hakuna ubushi kuwa tayari ndoa inalazimishwa. Ziko nyingi za namna hii hata hapa bongo ambapo bwana akifika home anaona kama ameingia motoni lakini akiwa bar ni raha mustarehe.

Broda! Kwa kweli umeainisha mengi wanaume tunakumbana nayo! Kuna jamaa alikuwa anasema akiwa pub naishi na yule mwanamke sababu wazazi wake naheshiamana nao sana! Ila mtoto wao si mke kabisa.
 
Broda! Kwa kweli umeainisha mengi wanaume tunakumbana nayo! Kuna jamaa alikuwa anasema akiwa pub naishi na yule mwanamke sababu wazazi wake naheshiamana nao sana! Ila mtoto wao si mke kabisa.

Masanilo, wakati mwingine huwa ni compartibilities tu. Yaani waswahili wanasema nyota haziendani na wala si tabia mbaya au chochote. Huwa naona hata kwangu. Kuna vitu navitaka sana lakini wife hana habari kabisa, hata ukimweleweshaje! Inafika sehemu inabidi tu ujifanye kama vile huvitaki. Ila sasa, hivi vitu vinapokuwa vingi hapo ndiyo shida inaanzia.
 
Tiger Woods ameachana rasimi na mkewe Elin Nordegren. Woods ametangaza katika website yake na kusema kwamba ndoa yao na Elin imefikia tamati leo na hukumu imetolewa leo katika mahakama ya kesi za ndoa ilopo Bay County (Florida).

Katika taarifa yao ya pamoja Tiger na Elin wamesema wanaachana katika majonzi lakini wanatakiana maisha mema ya kila mtu kivyake.

Kwa habari zaidi tembelea website ya Woods -www.tigerwoods.com, panaposomeka: "Elin Nordegren and Tiger Woods confirmed today that they have divorced"

Huyu mwanamke mimi namuona ni hatari na ni mfanyabiashara zaidi. Wasingeweza kushindwa kusuluhisha hii issue ni ya kawaida kwenye ndoa. Anachohitaji lady ni mshiko wake tu baada ya kuachana. Pole sana Tiger!
 
bora huyo mwanamke amekuwa mkweli...
lets face it,utamsamehe mtu kama amecheat mara moja,
once hili tendo likijirudia,kusamehe inakuwa ngumu..
scandal ya tiger iliiibua wanawake si chini ya 12...!!
utasamehe mtu wa hivi kweli??...labda kama una mapungufu na huamini kabisaaaa kama maisha yatasonga bila ya huyu mtu...
otherwise hii decision waliyoichukua ni nzuri for both of them,
damage ilikuwa kubwa kiasi cha kuwa ngumu ku repair!!

mnaosema watoto,wengi ughaibuni wamelelewa na divorced parents,
kinachofuata hapo ni kugawanya masaa ya kulea ili watoto wapate muda wa kuwa na wazazi wote wawili...
ni njia nzuri zaidi ya kulea kuliko kuwalea in unhappy environment/home!:A S 100:

Hii inawatokea wengi hata King Mswati pamoja na wanawake lukuki imemtokea pia?
 
......Watoto watatunzwa lakini si kuendelea kuishi under the same roof na mume ambaye ni cheater.Nafuu Ellin ameamua kumdivorce Tiger.

For your information all men are cheaters, hata wako is a great cheater!!
 
Hivi mwanaume inapotok
Code:
ea ukacheat na watu wote hao ..tatizo ni nini?
Kama mkeo hakuridhishi ..na hao wengine 11 watakuwa hawakuridhishi..
1,2,3,4,5,6.......12 duh

Lakini ni kweli hao wanawake wote alikuwa anabanjua nao amri ya mungu ?
mie hii mizungu nashindwa kuiamini sana :becky:
 
Jamani mnaoongelea kusamehe, mnajua kusamehe kuna maana gani?
Kumsamahe mtu ana GF kama 12 wanaojulikana, wasiojulikana je? huyu hata anampenda mkewe kweli kwa mapenzi ya dhati?
Kwanini alioa basi? nadhani aliamua kuishi na mkewe kama pambo tu kwa sababu kamzalia watoto. Mwacheni akae single aendeleze ukware wake, tena aikae na hao watoto atawafundisha tabia mbaya.

Mnaosema angemsamehe, ninyi mnaweza kusamehe spouses wenu walio cheat anagalau 5 times tu basi?????
 
Huyu mwanamke mimi namuona ni hatari na ni mfanyabiashara zaidi. Wasingeweza kushindwa kusuluhisha hii issue ni ya kawaida kwenye ndoa. Anachohitaji lady ni mshiko wake tu baada ya kuachana. Pole sana Tiger!

Jaribu ku cheat na wanawake 12, halafu mkeo ajue. Akikusamehe njoo utuambie hapa.
Au vice versa, mkeo aku cheat 12 times halafu umsamehe.....
 
mwenyewe nashangaa nini kimewasibu...ama mwanamke amelazimishwa na ndugu ...kizazi cha leo mtu anakiri amekosea na kuomba msamaha kwa majuto lakini bado mtu anakuwa na roho ngumu..
Nimesikitika kama mie vile

wazungu ndivyo walivyo. yule mwanamke alifuata pesa tu. Tiger wood was made a cash cow. Bora ameachana naye. Pia akome.
 
Jamani mnaoongelea kusamehe, mnajua kusamehe kuna maana gani?
Kumsamahe mtu ana GF kama 12 wanaojulikana, wasiojulikana je? huyu hata anampenda mkewe kweli kwa mapenzi ya dhati?
Kwanini alioa basi? nadhani aliamua kuishi na mkewe kama pambo tu kwa sababu kamzalia watoto. Mwacheni akae single aendeleze ukware wake, tena aikae na hao watoto atawafundisha tabia mbaya.

Mnaosema angemsamehe, ninyi mnaweza kusamehe spouses wenu walio cheat anagalau 5 times tu basi?????

mtu mmoja maarufu nilimuuliza kwanini in ten years ameoa wanawake watatu tofauti na ameachana nao alinijibu kuwa na wa nje anao, its just privileges of wealthy!! gademu!!!
 
BJ,
I read you. But for sure, there is one couple I admire in this world... Bill and Hillary... Hillary came strong to support her husband in the Lewinsky scandal. That is what true love means.. Mtoto akinyea kiganja unakikata wakati unampenda mtoto? La hasha, unaosha maisha yanakwenda mbele. Kama ndugu yako mliyoshiriki naye nasaba akikukosea na undugu unaisha hakuna kumsamehe? la hasha utamsemehe tu. The same kwa rafiki kama spouse ikitokea amekosea na akakiri na kuomba msamaha kwanini usisamehe na kuanza ukurusa mpya? hii inawezekana lakini inahitaji Roho ya Imani iwe ndani ya mtu.

Umesema kitu fulani ambacho sipata jibu yani mtu ukikosana na nduguyo unaweza kumsaheme ila mwanandoa unaweza kuachana nae na usitake kujua kabisa habari zake hata kama mna watoto..
Huyo hillary na mumewe ni ngumu kujua mambo ya ndani ila she stood for her husband in public na hiyo ni ngumu kweli tena kama umeumizwa kimapenzi!..
Binafsi kama watu wameshindwana naona bora kuachana mana kama hamna imani+upendo ni kazi bure!..kutwa kuwaza,chuki,malipizi nk.
 
Raising kids with parents in separation/divorce!! Not an easy life for the parents and kids!! Generally, yes, but practically it is painful hata kama utasema utakuwa huru, mara kujirusha kwa amani na furaha, but watoto wako pale pale na mliungana kwa damu mkawazaa. Elin na Tiger watakumbukia maisha yao ya pamoja kwa maisha yao yote, it is unerasable life history. What is wealth in our lives?? Asikuambie mtu, hawa Tiger na Elin watakuwa na machungu tu, hasa Tiger ambaye for sure he will not be the same in public na golf lake!! Finito!!

Nakuunga mkono 100% kuachana ni suluhisho la muda mfupi lenye mateso ya muda mrefu.Wakati mwingine ni bora hata kupeana msamaha wa masharti kuliko kuachana na mtu ambaye mna watoto pamoja.Haishangazi kuona kuna wanandoa wengi sana wako pamoja bado licha ya kukumbana na changamoto kama hizi.
 
Ni bora kuachana tu kuliko kuendelea kuishi kwa hofu, bila amani, kero, na ugomvi usioisha. Sasa Tiger Woods atadinya tani yake anavyotaka bila hofu yoyote ile. Na mkewe wa zamani naye ataishi bila ya hofu mumewe yuko wapi na anafanya nini na nani.

Ila mwisho wa siku ni uamuzi wa mtu binafsi. Lakini kwangu mimi naona walivyofanya ndio sahihi. Na natumaini Tigers Woods atakuwa kajifunza kuwa yeye sio 'marriage material'

Why get married if you are going to cheat? Why stay married if you are continuously getting cheated on and you are unhappy with it? You might as well go your separate ways and be happy rather than stay married and be unhappy. That's the way I see it.
 
... kuachana ni suluhisho la muda mfupi lenye mateso ya muda mrefu.Wakati mwingine ni bora hata kupeana msamaha wa masharti kuliko kuachana na mtu ambaye mna watoto pamoja.
WomanOfSubstance THE, masharti yakivunjwa ufanyeje, ulegeze masharti? Na unajuaje hawakuwekeana masharti na yakavunjwa?

Wanawake wa Kitanzania ni kama kondoo, mmefundishwa kuvumilia na kusamehe kila uchafu na ushenzi wa mwanamme, unaambiwa fia kwenye ndoa. Mfumo dume. Mzuri maana unatunza ndoa ila unaishi kwenye shurba na mateso.
 
Lakini kama kweli Woods katika aliotembea nao, kulikuwa na mwanamke anapenda sana, nadhani na huyu mzungu walikuwa wanaishi kwa kuvumiliana. Ikishafika sehemu mtu ukachanganyikiwa na mwanamke wa nje ya ndoa, hakuna ubushi kuwa tayari ndoa inalazimishwa. Ziko nyingi za namna hii hata hapa bongo ambapo bwana akifika home anaona kama ameingia motoni lakini akiwa bar ni raha mustarehe.

Neno kwelikweli....!!!
 
Nimesoma maoni mbalimbali ya wenzangu na ni mazuri.

Sasa je Tiger Woods ameharibiwa na fwedha nyingi alizo nazo ambazo zilimfanya aone kwamba mkewe si chochote ndani ya nyumba yao?

Au Elen nae alijua tabia ya Tiger Woods ya kupenda wanawake kabla hawajawa pamoja na akachukulia "advantage" akijua kwamba siku wakiachana basi nae ataibuka milionea?

Ikumbukwe kuwa Tiger na Elen walikuwa "introduced" mwaka 2001 kwenye Open Championship na mcheza golf mwenzie Tiger aitwae Jesper Parnevic ambae alikuwa amemuajiri Elen kama msaidizi wake akiwa kwenye mashindano hayo, na baada ya miaka mitatu wakaoana.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom