Smatta
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 2,350
- 730
- Thread starter
- #21
You have both.....xeno & tribal.......but since you're always in denial you cant see it and you'l never see it....... hamna nchi ambayo haina prejudice..... hata ukienda zambia...malawi.....msumbiji..... na hali ni mbaya zaidi ukienda ulaya na marekani.....ubaguzi upo pale....lakini tatizo ni kwamba naongea na smatta who is fanced in east africa.....hasa nairobery.....obviously huta nielewa......ngoja niokoe muda wangu kwa kuacha kujadili na kipofu.....
hahaha.. fenced in east Africa,,.. hahaha, sasa wewe umeenda huko uliopo na ka scholarship unadhani wenzako hawana opportunities za kuenda.. nimetoka Guangzhou China miezi kadhaa iliopita lakini hautanipata hapa nikijisifu kama wewe uliopo hapo Glasgow ukiosha vinyanya na kubeba ma boksi unaona ume achieve kwa sababu unavaa hizo ma knock off Jordan na kunywa low shelf spirits.. stick to the topic son, na urudi nyumbani u invest uache kukula shida huko ulipo