Tido Mhando kwa mkono wa Mungu iokoe Tanzania

Al-Jazeera huwa wanaajiri watu wenye digrii na kuendelea. Form Four hawana nafasi pale.
Expirience ya Tido ni Ph.D tosha ya utangazaji. Kwani Larry King ni degree holder?, Kwenye kazi ya utangazaji kinachomater sio elimu ni uwezo na kipaji!. Find out TBC wana degree holders wangapi?. Linganisha na output yao. Angalia Clouds ni ma Form Four wa Div iv na wanawakimbiza!.
 
Fuatilia post yangu hapo juu namuongelea nani kabla hujakurupuka kutoa majibu. Utaratibu wa ajira wa Al-Jazeera ni lazima uwe na digrii angalau moja. Sasa kama wewe unabadilisha utaratibu basi haya jaribu.
 
Hata kama ni kweli Jerry Murro kuwa Form four, ila jamaa ni kichwa kwny tasnia ya habari, ana deserve kufanya kazi hk,.ila kama utaratibu ni huo duuu! Ila kuna kipindi nilisikia TBC waandishi wao ni kuanzia Degree sasa yeye aliajiriwaje pale!!?
 
Fuatilia post yangu hapo juu namuongelea nani kabla hujakurupuka kutoa majibu. Utaratibu wa ajira wa Al-Jazeera ni lazima uwe na digrii angalau moja. Sasa kama wewe unabadilisha utaratibu basi haya jaribu.
Na zile tetesi Za Kibonde pia Kuitwa Al Jazeera nivipi au katoswa au Sababu ya Degree?
 
... ni taa na mwanga iliobabuliwa, kuparuliwa na kufulikwa chooni na MAFISADI nchini ili mwanga wake usimulike sehemu za mbali sana kama ule mwanga wa Mwanasayansi Nguli Galilei Galileo!!

Go Tido Mhando go!! TBCCM siku hizi ni ujima ujima mtindo mmoja mpaka kimemo kitoke kwa Nchimbi ndio habari ipate kutangazwa.

Go, go Mhando go, carry ayonder the flag of our nation to the greater quarters of Al-Jazeera!!!

by Uwezo Tunao.
 
Hureeeeeee ama kweli Mungu si TBC au KIKWETE aibu yao WACHAWI,waliomfanyia fitna hongera sana TIDO.
 
Mwenyezi Mungu hutenda kwa haki bila chuki wala ushabiki wa kisiasa hongera kaka TIDO ENDELEZA KUFANYA KAZI KWA USAWA NA HAKI KWA WOTE KAMA ULIVYOKUA TBC NA BBC. HONGERA SANA KAKA
 
Back
Top Bottom