Tido Mhando kwa mkono wa Mungu iokoe Tanzania

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Hayawihayawi sasa yamekuwa! Tido muhando rasmi aula Al Jazeera Swahili sambamba na Joseph Warungo!
Uwepo wako huko ndugu tido utasaidia kuanika maovu ya serikali ya tanzania chini ya utawala dharimu wa ccm!

Mungu ibariki tanzania, mungu mbariki Tido!
 
habari njemea kwetu ingawa c njema kwa jk na ccm yake.hongera tido
 
Hayawihayawi sasa yamekuwa! Tido muhando rasmi aula Al Jazeera Swahili sambamba na Joseph Warungo!
Uwepo wako huko ndugu tido utasaidia kuanika maovu ya serikali ya tanzania chini ya utawala dharimu wa ccm!

Mungu ibariki tanzania, mungu mbariki Tido!

Unataka mwenzio wamu-Mwakyembe? Viongozi wengi wa Afrika ni waovu wa kupindukia na hutumia kila aina ya mbinu kuwamaliza wote wanaosimama kinyume nao au kuanika uovu wao.
 
ila Tz bana,yaani tumeona ni bora Jembe liende na kuirudisha nyuma TBC yetu,yaani watu wapo radhi viwanda vife lakini wewe usiwe kiongozi ama mtawala juu ya viwanda hivyo,ndio yaliyomkuta Tido

Hongera,tetesi sasa zimekuwa kweli kweli Jf ni kila kitu
 
Hayawihayawi sasa yamekuwa! Tido muhando rasmi aula Al Jazeera Swahili sambamba na Joseph Warungo!
Uwepo wako huko ndugu tido utasaidia kuanika maovu ya serikali ya tanzania chini ya utawala dharimu wa ccm!

Mungu ibariki tanzania, mungu mbariki Tido!

Kituo chake kitakuwa wapi mkuu nairobi au hapa2 dsm ya bongo?
Hongera tido
 
Hayawihayawi sasa yamekuwa! Tido muhando rasmi aula Al Jazeera Swahili sambamba na Joseph Warungo!
Uwepo wako huko ndugu tido utasaidia kuanika maovu ya serikali ya tanzania chini ya utawala dharimu wa ccm!

Mungu ibariki tanzania, mungu mbariki Tido!

Inawezekana kweli maana hata webiste yao iko under construction.

Aljazeera Kiswahili
 
... ni taa na mwanga iliobabuliwa, kuparuliwa na kufulikwa chooni na MAFISADI nchini ili mwanga wake usimulike sehemu za mbali sana kama ule mwanga wa Mwanasayansi Nguli Galilei Galileo!!

Go Tido Mhando go!! TBCCM siku hizi ni ujima ujima mtindo mmoja mpaka kimemo kitoke kwa Nchimbi ndio habari ipate kutangazwa.

Go, go Mhando go, carry ayonder the flag of our nation to the greater quarters of Al-Jazeera!!!
 
Na yule kijana orijino wa kipindi cha 'Uswahilini Kwetu / Kwetu Ushwazi' (jina lake nani vile) jembe sana yule kijana kuweza kuandaa kipindi kinachohusu jamii kilichokwenda shule mpaka walalahoi tusuuzike roho na kujihisi kama vile umasikini umetutoka kidogo vile.

Tido Baba; Muro na yule dogo wa Uswahilini Kwetu kuna vituko baba!!! Wafundishe kazi, waongoze vema kwenye mwanga wa kimataifa na kazi iendelee kiweledi zaidi mpaka kieleweke!!

Jery Muro yupo free, Tido Mhando nakushauri kamata huyu jamaa
 
Inawezekana kweli maana hata webiste yao iko under construction.

Aljazeera Kiswahili

Kwa jason bourne sina shaka na hizi taarifa,mzee 6 alipoitwa na polisisiem kuthibitisha kuwa mwakyembe kalishwa sumu aliwamwagia data za jason alizokuwa zilizokuwa zimemwagwa kabla hapa jf,polisi wakasema ushahidi wa mitandaoni haukubaliki kisheria zao
 
kumbe ni polisi wamesema na sio sheria imesema

Back
Top Bottom