Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,529
- 8,614
Let's assume kwamba nimetumwa na magamba, ambayo si dhambi, bado umeleta analogy ambazo haziendani. Katika sheria za mikataba kuna categories mbalimbali za mikataba na moja wapo ni contracts for specified duration ordefinate date. Mkataba wa Tido ulikuwa na specific time frame na yeye alipaswa kujua kwamba unless kuna renewal, tena ambayo imejadiliwa kabla ya kwisha kwa mkataba wake, alitakiwa aondoke siku ya mwisho ya mkataba wake. Kama ali-assume kwamba service zake zinatoa guarantee ya renewal, that is too bad and his fault. Asilaumu mtu katika hili!
TBC mmefulia ..you are just praise singers ..nothing else..