Elections 2010 Tido:bbc siyo tbc

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Anajisikiaje anaposikia wenziye bbc wakiendesha mahojiano na akina kinana bila woga.ajue kuwa amebadilika,na jamii haitamsamehe kwa usaliti huo.
 
Mkuu huwezi hata siku moja kutumikia mabwana wawili. BBC alikuwa anatumikia bwana mmoja tu aliyekuwa anamlipa ujira unaoeleweka. Ila sasa yuko kwenye payroll kama 10 hivi, afanye kazi ya yupi? Ukizingatia wengine wana wameshikilia hata uhai wake.

Nadhani ndani ya nafsi yake atakuwa anajutia uamuzi wake huo wa kujiunga na mafisadi labda kama alikuwa anaitafuta hiyo nafasi toka mwanzo. The guy is in big trouble (shit) nadhani hadi sasa anatamani dunia ifunguke na kummeza kabisa!! Kuishi ****** kwa mafisadi si kazi ndo ati!!
 
Back
Top Bottom