TID ateleza Juu ya ganda la ndizi au kwenye Povu la sabuni kwenye tiles.

Haufanani kabisa bwana!! halafu hii si kucopy ni sampling bana! katika dunia hii ya muziki huwezi leo ukatengeneza tune ya mziki wa kwako tu pasipo kusample! sababu vyombo vinavyotengeneza mziki duniani ni vile vile!!!!! tone zake ni zile zile.......Ili basi usionekane umecopy au umesample basi tumia malimba, zeze, dogoli, tutulo, litungu n.k!

Nyimbo ya mzambia huyo ni ya siku nyingi na ilibamba mbaya.... iweje kama tid kafanya copy ije kujulikana leo isijulikane toka tu ilipotoka?? inamaana ilikuwa ngumu mara tu ilipotoka kiasi kwamba mpaka fbi wa earadio wachukue miezi 6 kujua ni copy!!
Jamani hii si sawa bana.
Halafu hawa mapresenta wa hizi redio biashara si wabunifu bana katika kazi zao! sasa anapokuwa na likipindi la masaa matatu na yeye hajui atafanya nini kukinogesha kipindi chake ndo wanaibuka na short kats za fulani kacopy basi tu ili mradi masaa yake 3 yaishe baaaaaaaaaaaaaaasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Jamaa Mnyama ka-sample na pia kachukua na melody full cpy n paste sie tunamtukuza tunamuita kilaza..
 
Kama ni kweli basi naona hao Wazambia wengi wamewaiga.

Hebu msikilize huu wimbo:Wizboyy feat. Slim Brown - Inifinity.

Last edited by a moderator:
Sampling katika muziki inakubalika provided umepata ruhusa kutoka kwa muhusika. ndio maana SWV walifanya sampling ya wimbo wa michael jackson-Human Nature, na vivyo hivyo alifanya Chris Brown. Chameleon alifanya sampling ya wimbo wa Professor jay. Nyimbo nyingi za wasanii wengi zimefanyiwa sampling!
 
ni vp kama huyo mwingine ndo kamcopy tid.
Profesor jay alianza na piga makofi kabla make it clap ya busta rhymes mmekaa kimya upumbavu tu
kwanini hamuamini tunaweza kucopiwa sisi.
Chameleone did it to profesor jay.msiwe wapuuzi.
 
Muuzasura amesema siku hizi ameacha Ngada....
Hajaacha ila dozi kapunguza kwani kuna mpango bab kubwa kuhakikisha mshkaji anaacha ngada mazima!tumuombee mnyama aache nyeupe arudi enzi zake!TID wa shaaban robert au TId wa black gangstar kipindi anajiita NAS au TID aliyepiga ngoma na NAAZIZ kipindi kile!
 
Mnyama kipindi kile alikalisha sana aache sembe......
 
ni vp kama huyo mwingine ndo kamcopy tid.
Profesor jay alianza na piga makofi kabla make it clap ya busta rhymes mmekaa kimya upumbavu tu
kwanini hamuamini tunaweza kucopiwa sisi.
Chameleone did it to profesor jay.msiwe wapuuzi.

Hao wazambia wametoa miaka mitatu iliyopita tangia 2009,TID ametoa 2012 April
 
ni vp kama huyo mwingine ndo kamcopy tid.
Profesor jay alianza na piga makofi kabla make it clap ya busta rhymes mmekaa kimya upumbavu tu
kwanini hamuamini tunaweza kucopiwa sisi.
Chameleone did it to profesor jay.msiwe wapuuzi.

Hizo Ni title tu,kwhyo unataka kuniambia Gelly wa Rymes na Mike T wamemuiga Celin Dion wimbo wa I Luv U?

Last edited by a moderator:
Hizo Ni title tu,kwhyo unataka kuniambia Gelly wa Rymes na Mike T wamemuiga Celin Dion wimbo wa I Luv U?

Wewe ndio hujaelewa kabisa. Kinachozungumziwa hapa siyo title of song, ila mzee kabana kila kitu yaani Melody, Maneno ya wimbo and everything you know about music. Lakini producer wake ni nani naye watu wamkimbie, maana siyo mbunifu.
 
Last edited by a moderator:
Tatzo hapa kibongo bongo hamna wasanii wte hovyo huyo TID huo sasa ni wimbo wa pili kucopy awali ulikuwa wa nyota yangu now huu' sasa ukija kwny hip hop não hovyo haswa pale nilipokuja kuckia wimbo wa Godzilla aliocopy kwa Jay Z aibu tu, hapa msanii ni Ben Paul tu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hata Huu Godzilla alisha copy:

Yeye Aliuita zilla kingdom(Welcome to my hood) Huo unaanza kwenye clip below
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom