"Ticha" Yusuph Makamba amjibu Sumaye

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
Source TBC1 news

"Ticha" Makamba amesema aliosema kuhusu Sumaye ni maoni yake.
Kuhusu mitandao na matumizi ya hela kwa ajili ya urais- CCM haina habari
 
Source TBC1 news

"Ticha" Makamba amesema aliosema kuhusu Sumaye ni maoni yake.
Kuhusu mitandao na matumizi ya hela kwa ajili ya urais- CCM haina habari

kuna dogo mwingine ameonekana ITV akimchambua Sumaye kwa hoja zisizokuwa na uthibitisho. Yaani alikuwa anafanya mipasho zaidi na alikuwa anaonekana amepaniki kwelikweli.

dogo anaona ni dhambi sumaye kuchota 50, 000, 000 (hakuna ushahidi though), lakini anasahau kuwa mafisadi wanaowapigia debe walikuwa wanalipwa 152, 000, 000 kwa siku.

CCM kinakufa jamani. Kinajiuwa chenyewe.
 
Wana JF kauli za makamba dhidi ya Sumaye Zinaonyesha kuwa sasa Dalili za Kifo cha sisiemu kimewadia Source TBC1 Habari
 
nilisema asubuhi kuwa ....makamaba akijibu kikubwa atasema ni maoni yake ni si ya chama....na ndivyo alivyosema...hahahaa
 
waacheni waparurane sis tupate mwanya.hakuna kitu hapo.majungu na uzandiki umejaa ccm.kama ni mwananchama basi lazima mwaka huu utarudisha kadi yao.
 
Hawa wanazidi kukivunja chama chao badala ya kukijenga,kwa jinsi Shigella alivyokuwa akijibu inadhihirisha kwamba ccm na mafisadi ni damdam...
 
Alichijibu Shigela ni hasira za kukosa kula si wamesema ni zamu yao waachiwe na wao wale.REST IN PEACE CCM.
 
Jamani hii hali kwangu mimi naiangalia katika hali mbili

  1. Ni kero kubwa sana kwa hawa jamaa wanavyoendelea kupeana mipasho wakati nchi inaangamia,tumechoka kusikia mara;Sumaye vs Shigela,Sumaye vs Makamba,Sitta vs Vijana Tabora nk
  2. Watanzania tuchukue hatua gani kwa hawa watu wanaopashana kwa manufaa yao binafsi na mafisadi?
Ni kero jamani.............................CCM go to hell,go go go go CCM...................
 
I wonder why some matured people ( by age and physical appearance) comes up to the political Landscape and support those frantic politicians who spew hate against the others,anyway, but anti-tribalism warriors like us will keep them in check, and put them where they belongs.

Kwa hiyo Makamba hawezi kukemea ukabila,ukanda ulioenezwa na UVCCM?Kwa hiyo CCM inabariki yale UVCCM iliyosema?

Anyway,siwezi kutegemea anything better than this from Makamba
 
Hawa jamaa hadi kufiki 2015 tutackia mengi kwakweli,hadi raha.Napenda fisadi lingine kubwa litoe tamko la kumtosa huyo sumaye ili pachimbike zaidi.
 
Wana JF kauli za makamba dhidi ya Sumaye Zinaonyesha kuwa sasa Dalili za Kifo cha sisiemu kimewadia Source TBC1 Habari

Unajua siasa ni mchezo wa kujipanga katika kila nyanja (kauli, maamuzi, matendn nk) sasa inaonekana hawa jamaa wamejisahau na mkuu kalala!
 
CCM imefikia hatua mbaya inabidi hatua za haraka kukinusuru ili kusiende kombo zaidi. Hali hii haijawahi kutokea, kujibizaka kama bongo flava. Ni dalili mbaya ya kushindwa kutekeleza sera na kujielekeza katika ubinafsi.
 
Hata hatua zikichukuliwa kuwanusuru,they are good for nothing.Tanzania hawaihitaji tena,CCM you are done! ! ! ! !
 
nashanga sitta bado anangangania ccm wakati walishamfukuza siku nyingi!anasubiri aambiwe uanachama wake umefutwa?
 
mh sumaye na yeye ana machungu yake anakumbuka alichofanyiwa 2005 sasa ameona sasa kimeanza mapeema na yeye anajihami kumbuka alisema 'ukudhulumu kwa kalamu utatawala kwa kisasi' ndo hicho anachokiogopa
 
Back
Top Bottom