Professor Anna Tibaijuka Appointed Director General of UN Office in Nairobi, Retaining Role as Executive Director of UN-Habitat

Status
Not open for further replies.
Mzee ES,

We have to be careful about respecting all persons. I do not condone character assassination. However, if there is evidence that Prof. Tibaijuka uses corrupt employment criteria, then I shall not sympathize with her. We have a nation to defend, but we must be fair to all.

Unaposema "mawe tuu na mbomu", unaniogopesha. Hatufurahii kuumia kwa binadamu mwenzetu.

Augustine Moshi
 
Ok poa bro, zitakuja karibuni ngoja tuweke masikio ardhini tena, lakini kwa sababu imekugusa vipi ukitafuta ukweli mwenyewe kabla sijaleta zaidi, je unafikiri umeguswa zaidi yangu niliyefikiri kuwa anaweza kuwa rais wa kwanza mwanamke bongo?

Anyway, zinakuja bro, OOH ya mawe tu bro!!
 
Yombayomba said:
Mzee Es,

Yaani ulitaka agombee urais? hebu tafiti watu aliokwenda nao habitati kama wewe si nshomile imetoka.
Fatilia watu aliokwenda nao na utueleze, ingekuwa hatari hapo ikulu

Huyu mama alikuwa na ukabila sana alipokuwa pale UDSM. Katika researchh zake alikuwa akiajiri wanafunzi wa kihaya tu.
 
suala la ukabila katika ajira ni ugonjwa wa kansa.

Hasa wenzetu wahaya, wachagga, wanayakyusa bado wana hili tatizo na baya saya. Maanake ni kuwa wao wanajua kuwa binadamu wote si sawa!

sishangai kusikio hayo ya huyo mama! kibaya zaidi ni eti hata koti anataka kuvalishwa! au huko sasa ni kujiona yeye ni queen wa kihaya!

Ila ni kibaya ni double standard, watu wale ambao wakuwa wakipinga kuwa mramba hana ukabila huko TRA, hazina etc, leo ndiyo wa kwanza kusikitikia ukabila wa mama tibaijuka!!

Je hatuwezi kutumia kigezo kile kile kuwa wahya wengi wamesoma!
Kama amabyo mmekuwa mkisema wachagga wengi wamesoma! tuache double standard, ni kweli kabisa ukabila ni mbaya.
 
Mzee Moshi unayasikia hayo?

Mzee Mkuyuga, hazina ni mahali ambapo toka tupate uhuru kumekuwa na majority ya kabila moja, na baada ya kuanzishwa kwa TRA, ni wale wale waliohamihswa toka hazina na kwenda huko,

kwa hiyo kabila likaendelea, Mramba alipokwenda alikuta kumeiva tayari, hakufanya kitu chochote kama vile Mama Meghji sasa ambavyo hawez kufanya kitu? Mramba tulimtetea kuwa akiwa huko hazina angaalau kazi kidogo ilionekana,

ingawaje sasa kwenye ule ujenzi wa bara bara ni kweli alichemsha, isipokuwa Mzee Kisumo, ndye anayemuwekea kifua lakini alitakiwa awe nje tayari!
 
Mwl Moshi.

Shughuli uliyompa ES ya kutafuta wahaya wangapi wameajiriwa UN HABITAT ni usiku wa kiza. Pili Ukiangalia HABITAT peke yake utakuwa umepotea. Binafsi nilishawahi kusikia minong'ono kuhusu hako katabia kake ka ukabila, Kwa Nafasi ya huyu mama, influence yake tu (Just her reference kwa mtu yeyote) trust me ni tosha kukupa ajira department yeyote ndani ya system ya UN be it UNDP, UNICEF, WHO etc etc, kwa hivyo kama ni zoezi lisiwe UN HABITAT pekee bali hata department nyingine za UN.

Kuna jamaa mmoja pale UN aliondolewa, simply and similarly kwa tuhuma kama hizo hizo, yeye tatizo lake lilikuwa kuajiri Asians na hata kutumia quarter za nchi nyingine, hata Koffi Annan pia aliwahi kutuhumiwa kuwa amejaza West Africans and especially Ghanians. The point is katabia ka upendeleo UN kapo na kama ni ukweli kwa Tibaijuka basi naye alifuata mkumbo lakini yeye kazidisha kwani yeye imekuwa Ukabila badala ya Utaifa kwani kwenye Utaifa ingeeleweka sababu ni our quarter is not exhausted
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom