Tiba za HUYU mganga NI Hatari......???

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
MGANGA ANAPATIKANA HAPA.-DR SHEKIBUYU KUTOKA TANGA,
SASA ANAPATIKANA MIKOA YOTE.


Tunatoa huduma zifuatazo.......

Kuotesha busha haya yapo ya bei kama ifuatavyo...
• Busha la 500 Tsh
• Busha la 1000 Tsh
• Busha la 1500 Tsh
• Busha la 30000... Tsh

Naotesha upele kwa bei rahisi mwilini...
• Upele wa 700 Tsh
• Upele wa 900 Tsh
• Upele wa 2000 Tsh
• Matete kuwanga 50000 Tsh


Tunaotesha magamba mwilini. Kwa bei ifuatayo....

• Magamba ya mamba ni 100,000tsh
• Maamba ya nyoka 50000 Tsh
• Magamba ya kawaida na kupunyuka nyuzi 45000 Tsh

Dawa ya wachumba Me/ke bei kama ifutavyo...
• Mchumba mnene na Tajiri ni 1000000 Tsh
• Mchumba mnenen lakini hana maisha ya utajiri ni 50000 Tsh
• Mchumba mwembamba,Miss,sharobaro na Tajiti ni 2000000 Tsh

Dawa ya kumUachisha mpenzi wako KUTUMIA FACEBOOK.
• Kwa mwanamke/msichana ni 25000 Tsh
• Kwa MWANAUME au Mvulana ni 15000 Tsh

Karibuni sana FIKA TANGA STAND YA MKOA ELEKEA KUSHOTO..ALAFU OKOTA KIFUU TAJA JINA LANGU HAPO JUU UKIMALIZA TU UNATOKEA KWANGU.
Wa mikoani ukifika tanga stand ya mkoa elekea kushoto kwa utakao kuwa umeelekea alafu okota vifuu viwili taja jina langu hapo juu utakuwa umefika kwangu.
mAKUBWA HAYA
 
mganga anapatikana hapa.-dr shekibuyu kutoka tanga,
sasa anapatikana mikoa yote.


tunatoa huduma zifuatazo.......

Kuotesha busha haya yapo ya bei kama ifuatavyo...
• busha la 500 tsh
• busha la 1000 tsh
• busha la 1500 tsh
• busha la 30000... Tsh

naotesha upele kwa bei rahisi mwilini...
• upele wa 700 tsh
• upele wa 900 tsh
• upele wa 2000 tsh
• matete kuwanga 50000 tsh


tunaotesha magamba mwilini. Kwa bei ifuatayo....

• magamba ya mamba ni 100,000tsh
• maamba ya nyoka 50000 tsh
• magamba ya kawaida na kupunyuka nyuzi 45000 tsh

dawa ya wachumba me/ke bei kama ifutavyo...
• mchumba mnene na tajiri ni 1000000 tsh
• mchumba mnenen lakini hana maisha ya utajiri ni 50000 tsh
• mchumba mwembamba,miss,sharobaro na tajiti ni 2000000 tsh

dawa ya kumuachisha mpenzi wako kutumia facebook.
• kwa mwanamke/msichana ni 25000 tsh
• kwa mwanaume au mvulana ni 15000 tsh

karibuni sana ifika tanga stand ya mkoa elekea kushoto..alafu okota kifuu taja jina langu hapo juu ukimaliza tu unatokea kwangu.
Makubwa haya

hahahahahahaha hi kali kwel kwel
 
Hawana dawa ya kuachisha mpenzi jf?
Tena nimemkumbuka bujibuji, hivi alibebwa na mafuriko ama?
 
hahhahahahha nataka mtu fudenge aote magamba ya mamba hahahahahahhahaha
 
Nataka ya busha 30,000 kuna mtu humu JF nataka nimtwishe nalo anajifanya mjanja sana.
 
Ha ha ha! Niko mkoani so natakiwa niokote vifuuu viwili e?:lol::lol:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom