Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naombeni kuhusu tiba ya asili ya chronic uti kwa sababu nina ndugu yangu inamsumbua sana mwezi wa pili huu haishi
Katafute kwenye maduka ya dawa za kisuna utapataHiyo habat soda inapatikana wapi? Kulingana na maelezo inatibu mengi sana
CC: MziziMkavu
Unaweza pia kuni add kwenye facebook kwenye group langu kwa kubonyeza hapa.https://www.facebook.com/groups/260528527455752/MziziMkavu nimeshakuadd kwenye whatsapp mkuu
Katafute kwenye maduka ya dawa za kisuna utapata
MziziMkavu nimeshakuadd kwenye whatsapp mkuu
MziziMkavu nimeshakuadd kwenye whatsapp mkuu