Tiba ya pneumonia kwa watoto

anania

Member
Jul 2, 2010
83
8
Nina mtoo wa mwaka mmja amekuwa akisumbuliwa na pneumonia kila baada ya wiki mbili.Najitahidi kumvalisha nguo nzito kukiwa na baridi kakini haisaidii.Amechomwa X-pen mpaka ****** yamekakamaa naombeni ushauri wa tiba ya kudumu
 
Back
Top Bottom