Tiba ya kudumu ya bilateral adenoids &tonsilits

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,960
2,938
Habari wakuu,matabibu,madakta na wenye uelewa wa hii kitu. Mwanangu alikuwa natatizo linalotambulika adenoids tonsilits.amekwisha fanyiwa upasuaji mara 5 toka mwaka 2005 -2011 ktk hospitali ya Taifa Muhimbili. TONSILECTOMY ADENOTOMY mara 2 na ADENOTOMY pekee mara 3.na mara ya mwisho ni Juni 2011.Hivi sasa anapata tabu kupumua na anakoroma sana. Naomba ushauri wenu kama kuna TIBA mbadala zaidi ya UPASUAJI.Natanguliza shukrani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom