Tiba pekee ya kuiwajibisha serikali ni migomo tu

JUST

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
552
234
WANA JF,


Soote tumeona na kwa namna gani sehemu kubwa ya bunge tulilolitegemea lingesimama kidete kuhakikisha bajeti inamsaidia mtanzania walivyojisahau na kuwa visiwi na vipofu wa matatizo yanayowakabili wananchi.

kwa namna hiyo basi ni wazi kuwa matatizo ya mtanzania hayatakaa yatatuliwe na wawakilishi wa wananchi bali kwa juhudi binafsi za wanachi wenyewe na kwa njia zizlizo halali kisheria.

mgomo kwa wafanyakazi na maandamano kwa wananchi wengine yanaruhusiwa kisheria na hivyo huu ni wakati wa kutumia nyenzo hizi kidai haki za wananchi. naona madakitari, manesi na wauguzi wameonyesha njia ya kuwa bunge lilishindwa kuwatetea lakini kwa nguvu zao mambo yao yalionyeshwa kutatutliwa. na kwa huu wa tarehe 23 nadhani watatimiza.


HAKI HAIOMBWI, HUPIGANIWA
 
Na tiba kuu ya migomo, ni polisi, washawasha na mabomu ya machozi.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Back
Top Bottom