Tiba:Nguvu za kiume/ Maumbile Special Thread!

Hizo mbegu unakaanga au unatafuta zikiwa mbichi?

Jaribu kutembelea sites hizi 2 hapa:
Watermelon May Have Viagra-effect
Watermelon Medicinal Uses - Ayurvedic Diet & Recipes

namna ya kuamdaa mbegu (lakini tunda nikufakamia tu wakati tumbo hujalijaa na chakula ili watermelon liweze pita kwenye digestive system unimpaired:
the seeds and white part of the rind are also edible. The seeds are roasted, seasoned and eaten as a snack food, ground up into cereal, or used to make bread in Asian countries.

Ground up melon seeds are used in the traditional version of 'horchata de melon', a drink of melon juice and seeds. The melon seeds are blended with the flesh, left to sit for a half hour, then strained and served. The melon seeds thicken the drink slightly, as well as contributing oils and proteins.
 
Wadau hakika alivyoeleza GAZETI ni sahihi kabisa. Tatizo la wanaume wengi kuishiwa nguvu za kiume limekuwa kubwa kuliko hata maelezo. Tushirikiane kwa pamoja tunaweza kupunguza suhuhisho. MEWATA si mnawaona wamekuja juu na SHINGO YA KIZAZI na SARATANI ya MATITI kwa wanawake??
 
Hili litaendelea kusumbuwa watu kwa miaka mingi ijayo, tatizo ni kuwa hatutaki kuzungumzia chanzo cha tatizo, tunakimbilia kutafuta nguvu za uume kabla ya kutafuta nguvu za mwili, kuendelea kuuliziia dawa gani na wapi inaweza kutibu tatizo hili. heri kuangalia nini tunakula na nini tunakunywa. nitakuja siku na mada hii bila dawa.

"The doctor of the future will prescribe no drugs but will interest his patients in the care and nutrition of the human frame and in the cause and prevention of disease." - *Thomas Edison (1847-1931)*
 
Hili ni tatizo la kujitakia kabisa! Linatokana na kula vyakula vilivyochakachuliwa. Wale wazee wa zamani wanaweza kunisapoti.
Vyakula kama ugali wa mtama, ulezi, mahindi yasiyokobolewa, pia ndizi, matunda asilia, mboga silia, asali n.k. huondoa tatizo hilo bila hata kutumia dawa.

Mimi naamini majibu aliyotoa mkuu Nzowa Godat hapo juu ndiyo suluhisho la tatizo hil, hili ni tatizo la kujitakia kabisa!, siku hizi ukimwambia mtu ale dona na siyo sembe atakuona we mpuuzi, lakini muulize huyohuyo mtu katika sembe unapata nini na katika dona utapata nini, hajuwi. Lazima ujuwe hicho unachokula na kunywa kinakupatia nini mwilini ndipo ukile au ukinywe na si kwa sababu tu unasikia kiu au njaa.

kwa kuongezea, unahitaji pia kuanza kunywa maji kabla ya kusikia kiu: maajabuyamaji2.artisteer.net, badili chumvi, ile ya unga tuliyoizoea ni mhimu kwa ajili ya madini ya iodine tu na si kingine zaidi ya hapo!, anza kutumia chumvi ya mawe ya baharini ambayo haijapita kiwandani (unrefined sea salt), kumbuka kufanya mazoezi, lakini la mwisho na la mhimu ni kujuwa nini maana ya kupunguwa kwa nguvu za kiume maana kuna wengine unapozungumzia nguvu za kiume anafikiri ni kuwa na nguvu za kuingia tu chumbani na kuanza kazi bila maandalizi yeyote na anataka aendelee hapo masaa 2, pengine wengine wanaji-complicate zaidi kwa kuangalia filamu.
 
Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...naye-taka.html

Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume
Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.

Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 9 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.​
 
hiyo aliyo eleza MAKAH nisahihi tikiti na mbegu zake mbichi au mbegu zake zikaishe then changanya unga wa hizo mbegu na asali
 
Back
Top Bottom