Three young leaders leave for Obama`s youth forum

Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,138
1,117
I read the above i IPPMedia

I would be grateful to know how the lucky ones were selected.

Much obliged.
 
Nimepokea kwa furaha taarifa kuwa kuna Wanazuoni wanaoenda Ughaibuni kuongeza maarifa.

Ndugu zetu hawa wanaelekea Harvard University, International Institute of Social Studies,University of Maryland na American University. Natumai kuna wengine pia.

Nachukua fursa hii kuwapongeza wote kwa kupigia hatua. Na napenda kuwakumbusha msiisahau nchi yetu ya Tanzania na watu wake. Ndio, tunawategemea sana enyi wasomi wetu!
http://groups.yahoo.com/group/wanaz...zZWMDdnRsBHNsawN2Z2hwBHN0aW1lAzEyODAzMjA1Nzc-
 
Ni kweli tuwapongeze, lakini kitu cha kushangaza ni kwamba wengi wao wakirudi baada ya kuhitimu hatuwatumii ipasavyo unless wawe watoto wa wanamtandao kama ilivyokuwa kwa January Makamba!!
 
Ni kweli tuwapongeze, lakini kitu cha kushangaza ni kwamba wengi wao wakirudi baada ya kuhitimu hatuwatumii ipasavyo unless wawe watoto wa wanamtandao kama ilivyokuwa kwa January Makamba!![/QUOTE]

Mkuu unamaanisha January Makamba ni graduate wa Havard University? no wonder Andre Chenge too.
 
Back
Top Bottom