Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
- Thread starter
- #61
kwahiyo ni kweli zote zimeanguka isipokuwa moja tu...
Cha ajabu ni kwamba moja iliyo nusurika ni chopper ya kawaida tu ya kubebea troops na haina tishio lolote kwa watu/taifa, lakini hizi tatu ambazo ni babu kubwa kwenye nyanja za kivita didn't see the light of the DAY!!!
Ni kituo gani wali refuel kwa mara ya mwisho, nani aliwashauri CREW kupitia kwenye route yenye milima mikali na equatorial forest na hali ya hewa ambayo ilikuwa mbaya sana! Hivi kazi ya ma traffic controller ni nini hasa?