ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 8,046
- 2,931
- Thread starter
- #121
Asanteee s
Asante sheikh kwa hayo maelezo lakini hayaondoi ubaguzi wa waarabu kwa waswaili ni kweli wameenda wengi kutafuta maisha na wakayapata lakini haiimaanishi ubaguzi hakuna..... waarabu na wayahuni wote wabaguzi ndio maana Israel haitoi uraia kwa asie myahudi kama ilivo Emirati isivotoa uraia kwa Mgeni yeyote
Mpendwa I R Mwanaume haogopi !! Mwanaume haogopi kazi wala hachagui kazi !! Mwanaume Hupambana na maisha popote !!
FYI, Na kwa haki zote za aliyeumba Dunia na mbingu zake nikuambie haya ya kweli :- Huko Arabuni kuna idadi kubwa sana sana ya wageni yaani sii chini ya milioni 40 !! Na wageni hao wapo waliyoshika posts za wazawaa na wapo wenye kujishughulisha kibiashara na kiufundi (Labour force/mechanics/eLECTRSHEN,NK NK,NK) NA WOTE HAO VIPATO VYAO HAWAKATWI KODI fEDHA ZAO WOTE NI HURU WARUHUSIWA KUTUMA POPOTE BILA MAKATO YA KODI AU KIWANGO !!
MABILIONI YA DOLA HUSAFIRISHWA NJE.... Muhumu ya yote hakuna kushurutishwa kazi kabla ya makubalioano (mikataba inahukumu hatma ya mfanyakazi)
Sasa uliyoyasikia wewe na ukayaamini basi kaa nazo... Huko wapo wenye kuchakarikia masilahi yao !!
Naweza kupa takwimu za idadi ya watu kwa kila TAIFA waliohemea Uarabuni.!!!!!
Wee angalia na okoa maisha ya ALBINO nchini.. wanahitaji kulindwa !!!