Three brothers ndani ya Simanjiro; wamasai wajivua magamba, kadi zagombewa kama njugu!

Mkuu joka kuu kuwa mwangalifu usije ukopoteza kibarua buree.....Hawa magamba wsnapiga vita kila mahali..
tedo,

..wakinifukuza kazi mbona ndiyo watakuwa wamelipa umaarufu vazi hilo?
 
Last edited by a moderator:
Chadema mbona mnaleta uhuni hii picha inamuonesha Lema yupo Simanjiro leo, kuna uzi mwingine umeanzishwa na Mungi, anasema Lema yupo Arusha.

Ahh ok kumbe simanjiro ni Europe na Arusha ni Kenya....Unakubali moyoni sema payroll ndio inakutesa.
 
NO NO NO... WE SHOULD NOT ALLOW CCM 2B OPPOSITION PARTY. 4WAT THEY HAVE DONE CCM SHOULD BE DELETED FROM LIST OF TANZANIAN POLITICAL PARTIES. IKI CHAMA LZM TUKIJENGEE HOJA NZITO ILI KIFUTWE KABISA. DATS MY TAKe

kawaulize wenzako wa mwanza watakueleza habari kamili ya ccm kuwa bado ni imara na itazidi kuwaliza kila kukicha
 
Wamasai walikuwa kwenye gulio leo jumamosi jamaa ndio wakaibuka na matangazo yao ndio wakawafuata kwenye kwenda kusikiliza mipasho na matusi
 
Chadema mbona mnaleta uhuni hii picha inamuonesha Lema yupo Simanjiro leo, kuna uzi mwingine umeanzishwa na Mungi, anasema Lema yupo Arusha.

Amekosea nini kikubwa hapo inamaana simanjiro ni londoni?km ngapi kutoka mjini arusha?
 
Chadema mbona mnaleta uhuni hii picha inamuonesha Lema yupo Simanjiro leo, kuna uzi mwingine umeanzishwa na Mungi, anasema Lema yupo Arusha.

post hii imechelewa kidogo ni ya juzi,leo lema alikuwa daraja mbili arusha,uhuni upi?
 
Ulitakaje? Mmmmmhh! Ritz! Unaionea huruma hiyo? Picha ni ya jana hizo picha ni za jana na juzi zote!

Angalia usije kujinyonga kwa wivu mtumwa wewe!

Chadema mbona mnaleta uhuni hii picha inamuonesha Lema yupo Simanjiro leo, kuna uzi mwingine umeanzishwa na Mungi, anasema Lema yupo Arusha.
 
Chadema mbona mnaleta uhuni hii picha inamuonesha Lema yupo Simanjiro leo, kuna uzi mwingine umeanzishwa na Mungi, anasema Lema yupo Arusha.

Mkuu Ritz, ni kweli Lema jana alikuwa Simanjiro, labda hukuielewa mada vizuri kwa kuwa una allergy na chadema.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana kamanda kwa kutujuza. hawa magamba wamepoza nchi kwani ukiona mmasai amewagerka ujue wamekwisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom