thread ya kuchakachua

Jaman nimeambiwa thread ya kuchakachua. jana tulikunywa maziwa aisee

Basi bwana alivyofika si nilimkaribisha.... weeeeee nilikuta kumkaribisha, wacha aanze kunywa soda.mpaka zikafika nane almanusura amalize kreti kha.... sina hamu mie!!!!
 
Last edited by a moderator:
yalaaa,
kuna picha niliiona japo haikudumu hapa
niliona alivyokuwa anajipinda kama upinde wa mvua,
loooh, ha ha ha haaaaa, akome Asprin pitia hapa walau ujitetee.

mie jambo kabisa!!! hofu kwakoooo..........
yani lazima ucheke..........sasa ungemuona huyo babu odm alivyokuwa katepeta...........heheheheeeeee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom