Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

Kwa wale wanasafiri kuelekea mikoa mbalimbali hasa kuanzia jioni au usiku wanaweza kunicheki
 
Mara kwa mara humu pamekuwa na thread za watu kuuliza nauli ya kutoka sehem flani kwenda sehemu fulani, pia wapo wenye waliuliza usafiri wa sehemu fulani nitapata wapi? Wapo pia waliouliza huko wanakokwenda ni wageni je ni tahadhari gani wachukue.

Mimi nikiwa kama mmoja wa wadau usafirishaji nitakuwa hapa kutoa kila update inayonifikia

Cc Invisible JamiiForums
sumatra
 
habari yako, ni basi gani zuri la kwenda mwanza. ningependa kujua nauli na pia kwa hapa morogoro ticket nitapata wapi?
 
Panda Nyehunge inaondoka sa 12 asubuhi ofisi zao zipo stendi ya dodoma pale
Ni semi luxury
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom