Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

ninataka niende mwanza tarehe 26 July, 2016. gar gani salama na huduma bora kwa sasa maana nina siku mingi cjaenda hii njia . natokea Dar
 
nataka kwenda honeymoon sychells ama israel........ vp unaweza kunipa tips about that mkuu???.......... i mean kampuni nzuri za usafirishaji, hali ya huko etc
Au KQ maana emirates lazima upelekwe mpka Dubai so utapoteza muda tuu
 
nataka kwenda honeymoon sychells ama israel........ vp unaweza kunipa tips about that mkuu???.......... i mean kampuni nzuri za usafirishaji, hali ya huko etc
Kama utachagua Israel nakushauri panda Egypt air, bei yake ni nzuri na huduma zake zinaridhisha kulingana na bei yake.
Pia hutakaa sana kwa farao maana kuna ndege nyingi za Israel ambazo zinafanya safari Misri hivyo itakufanya usikae sana uwanjani wakati wa kubadilisha ndege.
Kuhusu hali ya hewa Israel kwa sasa wana hali ya hewa nzuri mchana joto na usiku baridi,
Kuna vivutio vingi, usisahau kwenda kwenye The dead Sea ukajionee kwa macho yako
 
Za ovyo sana maana seat zke cyo 2×2 na walichofnya wameongeza seat ili wapakie abiria wengi so full mbanano, kwa moro usafiri ni Abood zile Youtong ndyo nzuri
Mkuu mimi kinacho nikera sana ni tatizo la kubanana mfano unatoka mwanza kuja dar yaani unajikunja kwenye siti kama kambale na hilo linanifanya niyachukie mabus products za kichina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom