Thread iliyovunja mbavu zako

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
Personally thread ya Diana-Dabodiff akijitambulisha kwa JF na majibu aliyopata iliniacha hoi. Sijawai kufurahia thread nyingine kama nilivyoifurahia hii


Diana-dabodiff ndani ya nyumba.
Naitwa Diana lakini mtaani kwetu huku Mburuhati wananiita diana-dabodiff, nafurahi kujiunga hapa.
 
Mi hata siikumbuki,
maana ziko nyingi.
Ila kuna siku kuna mtu aliandika kiajabu sana.
Sijui alikuwa hajui kuandika?
Yaani kwenye thread yake niliambulia maneno mawili tu draft na mpira basi.
 
Mi hata siikumbuki,
maana ziko nyingi.
Ila kuna siku kuna mtu aliandika kiajabu sana.
Sijui alikuwa hajui kuandika?
Yaani kwenye thread yake niliambulia maneno mawili tu draft na mpira basi.[/QUOTE]



hahahaha Bujibuji umenifanya niangue kicheko
 
Ile thread (sikumbvuki ilianzishwa na nani) iliyokuwa inauliza what if 'zingekuwa zinawistle' kila zinaposalute kidumu chama cha wenye jicho moja! hakuna siku niliyocheka kama siku ile kusema ukweli.
 
Mimi huwa nachekeshwa na individual posts za members, sio thread nzima kwa ujumla!
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=AwkCgwc7VW4"]YouTube- "CCM WANITISHIA MAISHA" PASTOR FAUSTIN MUNISHI ON FACE BOOK[/ame]
hii iliniACHA HOI MAANA NILIKUA NACHEKA KARIBU WIKI NZIMA
UMENIKUMBUSHA.:D
 
Ilikuwa ile ya PakaJimmy kuhusiana na Couples za JF
Ilinifurahisha sana ile mada
 
si utani lakini katika mtazamo wangu double diff wa mbagara ndio kali... yaani alivyoelezea kuwa anaitwa double diff, nilipata picha moja ambayo itanikaa kichwani milele...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom