Thread gani ilikuwa bora kabisa hapa MMU kwa mwaka 2011?

dahhhh
sikujua hilo...
Kumbe hata MOD wanafungiwa
kasheshe mpauko.. Ni ngumu kufikiri mtu kama PAW anakula ban.. lol..

I'm just wondering
ni aliomba kushushwa hadhi nikimaanisha "title"
au ni moja ya rules zao?

ahh AD madaraka matamu sidhani kama aliomba kushushwa title au ni sheria zao. Lakini ye mwenyewe anadai bado moderating tools anazo.. labda wameshusha cheo kama onyo lakini anaendelea kuwa MOD .. sababu bado hatujatangaziwa Mod mpya Kule.
Mi sikujua kwamba Mods wanapigana Ban! hehe! nilishangaa kweli
 
duhhh
lakini hiyo si haki kabisa yaani..
imekaa hovyo kidogo kwa yeye ku dai kwamba bado anatawala.
ni kama vile mkuu wa kaya kaachishwa kazi leo ... hana hiyo title "Raisi"
lakini bado anaendesha nchi .. duhh haikubaliki..

sijawahi sikia mwanajeshi anapigwa buti lakini bado anaachiwa
madaraka yote hii imelegea sana..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom