Thousands victims of Catholic Church in Netherlands

Status
Not open for further replies.

kwamwewe

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,801
541
Thousands of children suffered sexual abuse in Dutch Catholic institutions, and church officials failed to adequately
address the abuse or help the victims, according to a long-awaited investigation.

The report, released on Friday, by an independent commission said Catholic officials failed to tackle the widespread abuse "to prevent scandals".
It said the suspected number of abuse victims who spent some of their youth in church institutions was likely somewhere between 10,000 and 20,000, according to a summary of the report.
The commission said it received some 1,800 complaints of abuse at Catholic schools, seminaries and orphanages and that the institutions suffered from "a failure of oversight".
It estimated that one in 10 Dutch Catholic children suffered some form of abuse since 1945, including rape. That figure doubles to one in five children for those who were in the care of Catholic institutions such as orphanages, boarding schools and seminaries.
Most cases were of mild to moderate abuse, such as touching, but it estimated "several thousand" instances of rape.
The findings appear to show that abuse was more widespread in the Netherlands even than in Ireland.

The commission was set up last year under the leadership of Wim Deetman, a former government minister, to investigate allegations of abuse dating from 1945.
The investigation was commissioned by two Catholic bodies, the Conference of Bishops and the Dutch Religious Conference, in 2010 after cases surfaced involving paedophile priests in the Netherlands, Belgium, Ireland, Germany, Australia, Canada and the United States.
Abuse by Catholic priests, laymen and laywomen was systematically covered up by the church to protect its reputation, the commission said, adding that the church was guilty of "inadequate supervision" and "inadequate action".

"The Catholic Church had a culture of not airing its dirty laundry," Deetman told reporters.
'Heartfelt apology'
Church leaders said the findings filled them with shame and sorrow. In a joint statement, the Conference of Bishops and Dutch Religious Conference (KNR) offered a "heartfelt apology".
"The bishops and directors of the KNR are shocked by the sexual abuse of minors and the practices described in the final report. It fills us with shame and sorrow," they said.
"The perpetrators are not the only ones to blame. Church authorities who did not act correctly and did not give priority
to the interests of and care for these victims also share in this blame. We deeply regret this abuse."

A new complaints committee set up to handle sexual abuse in the Catholic Church will give priority to complaints about at least 105 perpetrators who are still alive, the commission said.
The commission has already published some recommendations. It has urged the Church to pay compensation to victims and to set up a centre to help those abused.
The Catholic church in the Netherlands agreed last month to launch a compensation system clearing the way for victims of abuse by priests and other church workers to receive payments.

The new compensation system has a scale starting at $6,500 and rising to a maximum of $130,000 depending on the nature of the abuse.
According to the Dutch Central Bureau for Statistics, 29 per cent of the Dutch population of 16 million identified themselves as Catholics in 2008.

Source:
Al Jazeera and agencies

<strong>

Last edited by a moderator:
Hawa kanisa katoliki ni madhalim wa hali ya juu, hata Tanzania yameshatokea hayo, karibu huu ushenzi wanaufanya makanisa yao dunia nzima, ukweli uwekwe wazi na tuukemee. Kwa mtindo huu, sishangai kusikia ni wengi sana wa hawa Wakatoliki wameshakumbwa na mkumbo huu. Waswahili hunena "siku za mwizi arubaini" kwa msemo huo, naamini kwamba katika kila mtoto mmoja 1 anaekuja kujulikana kuwa alifanyiwa huu ushenzi kanisa katoliki basi kuna wengine arubaini ambao wanaficha siri, na siwalaumu ni aibu kubwa sana, hili kanisa lipigwe marufuku, lina haribu badala ya kutengeneza:

Roman Catholic sex abuse cases by country - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Poppleton had been repeatedly sexually abused as a young boy by Fr Kit, an experience that he says "broke me down and broke my spirit". The abuse took place at St Michael's, Soni, in the 1960s, in what was then Tanganyika, now Tanzania. Four of the priests who taught there, all members of the Rosminian order, and including Fr Kit, perpetrated physical and sexual abuse that made this boarding school, according to Poppleton, "a loveless, violent and sad hellhole"
Source: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile | Comment is free | The Observer
 
Mliosoma shule ya Mtakatifu Michael, Soni, jitokezeni mponeshe maumivu ya roho, mwenzenu kaonesha mfano msijifiche kutetea hizi laana.
 
Thousands of children suffered sexual abuse in Dutch Catholic institutions, and church officials failed to adequately
address the abuse or help the victims, according to a long-awaited investigation.

The report, released on Friday, by an independent commission said Catholic officials failed to tackle the widespread abuse "to prevent scandals".
It said the suspected number of abuse victims who spent some of their youth in church institutions was likely somewhere between 10,000 and 20,000, according to a summary of the report.
The commission said it received some 1,800 complaints of abuse at Catholic schools, seminaries and orphanages and that the institutions suffered from "a failure of oversight".
It estimated that one in 10 Dutch Catholic children suffered some form of abuse since 1945, including rape. That figure doubles to one in five children for those who were in the care of Catholic institutions such as orphanages, boarding schools and seminaries.
Most cases were of mild to moderate abuse, such as touching, but it estimated "several thousand" instances of rape.
The findings appear to show that abuse was more widespread in the Netherlands even than in Ireland.

The commission was set up last year under the leadership of Wim Deetman, a former government minister, to investigate allegations of abuse dating from 1945.
The investigation was commissioned by two Catholic bodies, the Conference of Bishops and the Dutch Religious Conference, in 2010 after cases surfaced involving paedophile priests in the Netherlands, Belgium, Ireland, Germany, Australia, Canada and the United States.
Abuse by Catholic priests, laymen and laywomen was systematically covered up by the church to protect its reputation, the commission said, adding that the church was guilty of "inadequate supervision" and "inadequate action".

"The Catholic Church had a culture of not airing its dirty laundry," Deetman told reporters.
'Heartfelt apology'
Church leaders said the findings filled them with shame and sorrow. In a joint statement, the Conference of Bishops and Dutch Religious Conference (KNR) offered a "heartfelt apology".
"The bishops and directors of the KNR are shocked by the sexual abuse of minors and the practices described in the final report. It fills us with shame and sorrow," they said.
"The perpetrators are not the only ones to blame. Church authorities who did not act correctly and did not give priority
to the interests of and care for these victims also share in this blame. We deeply regret this abuse."

A new complaints committee set up to handle sexual abuse in the Catholic Church will give priority to complaints about at least 105 perpetrators who are still alive, the commission said.
The commission has already published some recommendations. It has urged the Church to pay compensation to victims and to set up a centre to help those abused.
The Catholic church in the Netherlands agreed last month to launch a compensation system clearing the way for victims of abuse by priests and other church workers to receive payments.

The new compensation system has a scale starting at $6,500 and rising to a maximum of $130,000 depending on the nature of the abuse.
According to the Dutch Central Bureau for Statistics, 29 per cent of the Dutch population of 16 million identified themselves as Catholics in 2008.

Source:
Al Jazeera and agencies

<strong>

Hii ni laana kubwa sana. Jamani, msitetee haya maovu kwa udini, jitokezeni kuupinga huu uovu wa hali ya juu.
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu imeenea Dunia nzima.Tatizo kubwa ni pale tunapoacha utaratibu aliotuwekea Mwenyezi Mungu, tukafata utunzi wa kuwekewa na Binadamu.
 
Hii ni laana kubwa sana. Jamani, msitetee haya maovu kwa udini, jitokezeni kuupinga huu uovu wa hali ya juu.

Naungana na wewe; ila as mkatoliki sijaona mahala au mafundisho yoyote yanayosupport udhalimu huo. Hivyo hayo ni makosa ya individuals. As kanisa sera yake ya useja huenda ikawa root cause; but mashehe na walimu wa madrasa wangapi (wenye wake) wanawaabuse watoto? Raia wa kawaida wangapi wanawaabuse watoto?

Watu wataendelea kuwa watu tu! As kanisa linaweza kufanya yafuatayo kupunguza hiyo issue.
1: kuruhusu wanaotaka kuoa waoe!
2: kutoa utaratibu wa kuwa na altar boys (watumikizi)!
3: mapadre waishi compound ya mbali na seminari hasa hizi zenye Olevel students.
 
naungana na wewe; ila as mkatoliki sijaona mahala au mafundisho yoyote yanayosupport udhalimu huo. Hivyo hayo ni makosa ya individuals. As kanisa sera yake ya useja huenda ikawa root cause; but mashehe na walimu wa madrasa wangapi (wenye wake) wanawaabuse watoto? Raia wa kawaida wangapi wanawaabuse watoto?

Watu wataendelea kuwa watu tu! As kanisa linaweza kufanya yafuatayo kupunguza hiyo issue.
1: Kuruhusu wanaotaka kuoa waoe!
2: Kutoa utaratibu wa kuwa na altar boys (watumikizi)!
3: Mapadre waishi compound ya mbali na seminari hasa hizi zenye olevel students.

tatizo ni kuwa shehe hasamehe makosa lakini padri anafanya vitu hivyo na huku anasamehe watu makosa hapo ndio kazi

jihukumu kabla hujahukumiwa
 
Sasa hapo tutaanza kubishania imani ambapo hatutafika popote kwani sio 1+1; ni IMANI. Padre hasamehi makosa, amini usiamini sio shida yangu, afterall sina nia ya kukufanya uamini.

Nilifikiri tunazungumzia tatizo la abuse za watoto ambazo zimefanywa na makasisi!
 
Duh! Faiza hapa amefika! Atapigilia misumari kibao!!!!!

Hapo kuna cha msumari, watu washapigiliwa nondo na watu wanaowaamni kuwa wanawachunga. Ka msimari ka Faiza kana pakupigilia hapo?

Mimi nnachokiona nnyoyaona mawili kwa waumini wa hili kanisa;

1) Ni watu wenye imani ya hali ya juu kuendelea kubaki kwenye hili kanisa kiasi cha kwamba imani yao inawafanya wafanye kufuru kwa kutokuyaona haya madhambi.

2) Ni watu wasio na imani kabisa na huu mchezo wanaupenda na wanaendelea kuupongeza na wale wachache wanaojitokeza ni kondoo waliopotea.

Ushauri: Jisalimisheni kwa Mwenyeezi mungu asiye zaa wala kuzaliwa.
 
Naungana na wewe; ila as mkatoliki sijaona mahala au mafundisho yoyote yanayosupport udhalimu huo. Hivyo hayo ni makosa ya individuals. As kanisa sera yake ya useja huenda ikawa root cause; but mashehe na walimu wa madrasa wangapi (wenye wake) wanawaabuse watoto? Raia wa kawaida wangapi wanawaabuse watoto?

Watu wataendelea kuwa watu tu! As kanisa linaweza kufanya yafuatayo kupunguza hiyo issue.
1: kuruhusu wanaotaka kuoa waoe!
2: kutoa utaratibu wa kuwa na altar boys (watumikizi)!
3: mapadre waishi compound ya mbali na seminari hasa hizi zenye Olevel students.

Pole sana kwa kujaribu kuingiza madrasa kwenye huu uozo wa maadili.

Hata ufanye nini huko, hakuna cha maana kwani tumeona huu uozp unaanzia kutoka vatikan kwa wakuu wa kuliendesha hili kanisa na si tatizo la hapo kwako ulipo. Soma: Rome's Subculture of Gay Priests Rocks the Vatican - The Daily Beast

Na hapa:

Catholic church embarrassed by gay priests revelations | World news | The Guardian

Hauna pakutokea, pole sana. Suluhisho ni moja tu:

Jisalimishe kwa mola wako.
 
shida yetu bado kuliona kosa kubwa kwa vile limetendwa na mkatoliki lakini yuko mufti fulani alikuwa na mtoto wa kiume akitembea naye lakini mambo yako kimya tu. Hebu tujiulize ni wangapi kati yetu tunafanya mchezo wa kinyumenyume lakini kimya.Hebu tuwe wakweli ni nani wa kwanza kumtupia jiwe mnzinzi. muhimu binadamu tuache mambo ambayo mwenyezi Mungu amekataza.Lakini viumbe wote ni matatizo makubwa kwa sasa . Huko upande unaosema wajisalimishe ndio balaa kubwa kwa kinumenyume au mambo ya kimombasa mombasa. hatuhitaji vidonge vya majira siye bwana.
 
Hili sharti la kuwalazimisha watawa na maaskofu kuwa waseja haya ndio matunda yake!!!! Ukisoma maandiko ya mtume Paulo ameweka wazi kabisa kwamba useja katika utumishi wa MUNGU ni swala jema *ila ni hiari ya mtu kufanya hivyo kama anaona ana uwezo huyo!!! Tatizo limekuja pale ambapo Mamlaka za kanisa Katoliki zilipoamua kufafanya useja kuwa sifa ya lazima kwa kila muumini wa imani hiyo anayetaka kuingia kwenye utumishi wa MUNGU (ikiwemo utawa, uaskofu, upadre nk).

Matokeo yake ni kwamba dhambi nyingi za zinaa zimefanyika sirini kwa sababu ukweli ni kwamba watawa wengi wameshindwa kuzuia tamaa za miili yao!!!

Katika hili, inabidi kanisa katoliki lijipange upya*
*
Hawa kanisa katoliki ni madhalim wa hali ya juu, hata Tanzania yameshatokea hayo, karibu huu ushenzi wanaufanya makanisa yao dunia nzima, ukweli uwekwe wazi na tuukemee. Kwa mtindo huu, sishangai kusikia ni wengi sana wa hawa Wakatoliki wameshakumbwa na mkumbo huu. Waswahili hunena "siku za mwizi arubaini" kwa msemo huo, naamini kwamba katika kila mtoto mmoja 1 anaekuja kujulikana kuwa alifanyiwa huu ushenzi kanisa katoliki basi kuna wengine arubaini ambao wanaficha siri, na siwalaumu ni aibu kubwa sana, hili kanisa lipigwe marufuku, lina haribu badala ya kutengeneza:

Roman Catholic sex abuse cases by country - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Sasa hapo tutaanza kubishania imani ambapo hatutafika popote kwani sio 1+1; ni IMANI. Padre hasamehi makosa, amini usiamini sio shida yangu, afterall sina nia ya kukufanya uamini.

Nilifikiri tunazungumzia tatizo la abuse za watoto ambazo zimefanywa na makasisi!

Tena hilo ni tatizo sugu sana na mimi nawapa ushauri waumini wa kanisa, kama mna imani kweli na Yesu basi hebu njooni kwa wanaofata mafunsisho ya Yesu na si ya kanisa lenye matatizo makubwa kiasi hiki.
 
Hili sharti la kuwalazimisha watawa na maaskofu kuwa waseja haya ndio matunda yake!!!! Ukisoma maandiko ya mtume Paulo ameweka wazi kabisa kwamba useja katika utumishi wa MUNGU ni swala jema *ila ni hiari ya mtu kufanya hivyo kama anaona ana uwezo huyo!!! Tatizo limekuja pale ambapo Mamlaka za kanisa Katoliki zilipoamua kufafanya useja kuwa sifa ya lazima kwa kila muumini wa imani hiyo anayetaka kuingia kwenye utumishi wa MUNGU (ikiwemo utawa, uaskofu, upadre nk).

Matokeo yake ni kwamba dhambi nyingi za zinaa zimefanyika sirini kwa sababu ukweli ni kwamba watawa wengi wameshindwa kuzuia tamaa za miili yao!!!

Katika hili, inabidi kanisa katoliki lijipange upya*
*

Kumbuka haiongelewi dhambi ya zinaa hapa. Hapa inaongelewa watoto wadogo kuharibiwa makanisani na wachungaji wa kondoo. Usijaribu kupinda mada.
 
shida yetu bado kuliona kosa kubwa kwa vile limetendwa na mkatoliki lakini yuko mufti fulani alikuwa na mtoto wa kiume akitembea naye lakini mambo yako kimya tu. Hebu tujiulize ni wangapi kati yetu tunafanya mchezo wa kinyumenyume lakini kimya.Hebu tuwe wakweli ni nani wa kwanza kumtupia jiwe mnzinzi. muhimu binadamu tuache mambo ambayo mwenyezi Mungu amekataza.Lakini viumbe wote ni matatizo makubwa kwa sasa . Huko upande unaosema wajisalimishe ndio balaa kubwa kwa kinumenyume au mambo ya kimombasa mombasa. hatuhitaji vidonge vya majira siye bwana.

Kumbuka hili tatizo linaloongelewa hapa si uzinzi ni uharibu wa watoto kanisani na haohao wachungaji sio tatizo la imamau mmoja au wawili ni tatizo la kanisa dunia nzima, uko wapi wewe? Unayasoma hata hayo mabandiko tunayoyaweka kuonesha hili ni tatizo la kila kanisa duniani? kwanini unataka kuubadili mjadala kwa kutafuta "justification" ya hizi dhambi eti kwa kuwa imamu fulani kafanya. Kuwa mkweli wa nafsi yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom