Though ur a married man, i will always love u

Naandika nikitambua kua ww ni mmoja wa member wa jf na naamini pia utasoma topic hii.
Nashindwa kukukumbuka kwa mabaya cse nimebakiwa na mazuri zaidi kuliko mabaya.Nakumbuka tulivyo fahamiana kwa mara ya kwanza ulipo kuja kazini kwangu ambapo na wewe ulikuja kikazi.Tuliendelea kuzoeana mpaka ulipo niomba no zangu za cmu naww ukanipatia zako.

Nakumbuka cku nzuri ya j3 tulipo toka pamoja kwa kufahamiana zaidi ambapo tulizungumza mengi ambapo pia ulinambia wajomba zako wanakulazimisha umuoe bint ambae uliwatambulisha lkn ww unahisi aumpendi -nakumbuka nilikushauri umuoe ukasema uwezi,atukuzungumzia sana ilo.Ilipo fika sa moja za usiku ulinirudisha nyumbani-Niliipenda sana siku iyo.

Siku iliyobadili furaha yangu gafla na kuanza kujuta kwanini nilikutana na ww ni siku tuliyo shinda pamoa kwa furaha alafu usiku wake nilipokupigia ili kukutakia usiku mwema,simu ilipo pokelewa nikasikia sauti ya kike.nilikosa uvumilivu na kukata ile simu lkn badae mpokeaji akani text kuniuliza vp mbona kama nina hasira?kwakua nilizoea namna unavyoandika msg nilijua ukua ww,nilijibu g9t then nikalala mpaka asubuhi alipo nipigia nakuanza kunitukana kunambia mm ni malaya nimuache mumewe kwani yy ni mke wa ndoa.Sikubishana nae zaidi ya kupiga kimya mpaka ulipo omba tukutane unielezee ukweli,tulikutana lkn pia sikukuelewa .

Kinachonishangaza mpaka leo ni kitendo cha ww kufunga ndoa angali tulisha fahamiana alafu unarudi kunambia kua bado unanipenda na uta fight mapenzi yetu mpaka mwisho.

Pamoja na kwamba nimeandika kwa ajili yako naamini pia auto soma peke yako watasoma na wengine na bila shaka watapenda kunishauri.Wenzangu mliopenda na kupendwa pia, ivi haya yanaweza kua mapenzi kweli?
Ukweli ni kwamba japo una mke mimi bado nakupenda sana as if nothing hapen bt sipo tayari kukutana na wewe tena popote,upendo wangu utabki moyoni mpaka atakapotokea mwingine

Pole sana,mim huwa naamini yale yanakutokea ndio ulie mfanyia mtu fulani ambae angekuwa Mume wako. So hayo ni majibu pole sana. Nimtazamo.
 
Tunaposema hawa viumbe wapigeni pipe vizuri wainjoi sex mtuelewe

Mwanamke anakumbuka na kui-miss sana good sex and good dick kwa miaka mingi hata akizeeka
 
Hope,mbona unanisema hadharani? Si ungeniPM tu? Hujui nina wengi humu jf? Au unataka uniharibie? Kwani mimi kuoa ndo nini!
Hata mimi,will always love you,i promise! Hii ya mie kuoa isikutie homa,ni vijimambo tu.
Kumbe wazee wa kitambo nao mlikuwa na sound sana🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom