those days: aliyesoma shule za kijijini atajua naongelea nini

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
390633_228101947257220_100001722487463_638142_1584419366_n.jpg
315758_228102503923831_100001722487463_638143_1343465191_n.jpg
unakumbuka haya maisha?
 
Haya maisha tumepiga sana.
Tena shuleni kwangu ilikuwa tunapiga hadi vibarua kwa ma'bourgouisie wa kijijini wenye senti zao.
Ila picha hii imekuwa exaggerated maana haiwezekani mtoto alime na uniform namna hiyo. siku ya jembe ilikuwa jembe la ukweli na mnavaa nguo za nyumbani.
 
sawa..........
 
hii kama sio mwanza basi ni shy ndio sare zao hizo na kule hakuna cha zaidi ya kuvunja kokoto mlimani..
 
Kama picha zote mbili zimechukuliwa kutoka the same school, I am sure it is not Mwanza. May be shy.
 
Vijijini gani mnavisema nyie? Vya Tanzania au nchi nyingine? Na kama ni vya Tanzania, ni vijiji vinavyowakilisha vijiji halisi vya Kitanzania au Msasani kijijini?
 
Haya maisha tumepiga sana.
Tena shuleni kwangu ilikuwa tunapiga hadi vibarua kwa ma'bourgouisie wa kijijini wenye senti zao.
Ila picha hii imekuwa exaggerated maana haiwezekani mtoto alime na uniform namna hiyo. siku ya jembe ilikuwa jembe la ukweli na mnavaa nguo za nyumbani.
kaka hapana, jembe na unifo ilikua kawaida mbona.
tena baada ya hapo mnarud klas kuendelea na shule!
 
Haya maisha tumepiga sana.
Tena shuleni kwangu ilikuwa tunapiga hadi vibarua kwa ma'bourgouisie wa kijijini wenye senti zao.
Ila picha hii imekuwa exaggerated maana haiwezekani mtoto alime na uniform namna hiyo. siku ya jembe ilikuwa jembe la ukweli na mnavaa nguo za nyumbani.

ni kweli hapo kuna exaggerations coz nakumbuka mimi nilipiga kwenye shule moja inaitwa bumbuli primary school huko lushoto..! nakumbuka kulikuwa na shamba linaitwa kivumo asee tulikua tunapiga kazi ni aje...! siku ya shamba ilikua sio mchezo it was kama enzi za watumwa yani..!
 
Back
Top Bottom