Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

Mimi nipo hapa ilembula ambako ndio nyumbani kwake,nimefuatilia habari hii kwa mtu wake wa karibu,ni habari ya kweli kuwa nyimbo amejitoa cdm.ni pigo kwa cdm

unayajua mapigo wewe,huyo naye ni pigo!!....kama kafulila aliambiwa ni sisimizi atakuwa Nyimbo.aende tu huyo.
 
Nipo Njombe sijasikia ila hata ikijitoa majembe mengine yatajitokeza maana Nyimbo si Tanzania ni nyimbo tu. Kwa ufafanuzi aligombea Njombe Magharibi kwa Lwenge na si Kwa Makinda Njombe kusini wala Jah People (Sanga)- Njombe Kaskazini upepo usipogeuka hakuna aliye salama si Makinda, jah wala Lwenge ifikapo 2015. Nyimbo ni tough lakini rough si sahihi sana kwake kuwa CDM hana tofauti sana na Mzee wa Maswa Shibuda maana hawa wawili nimewahi kukaa nao meza moja nikifanya kazi majimboni mwao.
 
Nimepigiwa simu na mkazi mmoja wa njombe,kuwa aliyekuwa mgombea wao wa ubunge mwaka 2010,amejitoa ndani ya Cdm!kama kuna mtu mwenye taarifa zaidi naomba atujuze!

mpigie simu aliyekupigia umulize akupe tarifa zaidi
 
Ameona chadema ni chama cha fujo.kusini hawapendi kabisa fujo
Nape Jr at work! Muelevu ameshajajua ni chama kipi cha fujo, kumbuka Igunga, Arusha, Ilemela, Iringa kwa yule diwani Chonanga, etc. nendeni mkaziakane wafu nyie ccm. Mnaiga hata kushona magamba!
 
Nipo Njombe sijasikia ila hata ikijitoa majembe mengine yatajitokeza maana Nyimbo si Tanzania ni nyimbo tu. Kwa ufafanuzi aligombea Njombe Magharibi kwa Lwenge na si Kwa Makinda Njombe kusini wala Jah People (Sanga)- Njombe Kaskazini upepo usipogeuka hakuna aliye salama si Makinda, jah wala Lwenge ifikapo 2015. Nyimbo ni tough lakini rough si sahihi sana kwake kuwa CDM hana tofauti sana na Mzee wa Maswa Shibuda maana hawa wawili nimewahi kukaa nao meza moja nikifanya kazi majimboni mwao.

kweli kabisa uliyonena ndio sahihi
 
Nimepigiwa simu na mkazi mmoja wa njombe,kuwa aliyekuwa mgombea wao wa ubunge mwaka 2010,amejitoa ndani ya Cdm!kama kuna mtu mwenye taarifa zaidi naomba atujuze!

Jamani Tanzania tuna shida gani.Mbona majungu mengi?Habari hizi sidhani kama zina ukweli wowote ila kama ni kweli bac ni hatari.
 
Ndugu zangu habari hizi ni za kweli,nimethibitishiwa na mwandishi wa habari,aliyekuwepo kwenye mkutano huo na mzee Thomas Nyimbo,mengi tutayasoma magazetini kesho,
 
Back
Top Bottom