Thomas Nyimbo aahidi kuijenga CHADEMA; apongezwa!

GOOD MOVE!!! CHADEMA wakaze buti huu ni mkakati tunoutaka ufanyike nchi nzima ili ifikapo 2015 tuwe na wanachama makini na wenye moyo wa ukweli na chama sio wanachama fuata upepo
 
i am very proud of that kind of a man..

Chadema will come out of this bad wind and will win the next general election 2015
 
Mwambie aende huko znz akafungue matawi mengine

Zanzibar siyo 'priority' kwa sasa. Sasa hivi ni lazima ukazanie maeneo yenye wapiga kura wengi. Kura za Zanzibar zimemsaidia nini Lipumba katika urais. Use your meagre resources where they can yield quick desired results. For must support you must go where there is a mass.
 
Hongera Nyimbo, bila siasa safi nchi hii itaendelea kuwa masikini. Wananchi lazima wapewe elimu sitahiki ya uraia ili waweze kudai haki zao kutoka kwa watawala.

Nyimbo akifanikiwa katika hili ataingia kwenye vitabu vya historia ya nchi hii kama mtu aliyechangia kuleta uhuru wa kweli
 
ATI na wewe ni great thinker? Shame!

Tumia akili..usiniulize inapatikana wapi..humo kwene bichwa lako.ebo. Usikariri ati ili tuendelee tunahitaji tunahitaji sijui nini..Nyerere alizificha akili zenu kwene chupa ndio maana akili zenu zinafikiri kisiasasiasa tu..

Kalagabaho.
Mmmmmmmh nadhani ewe ndiye yule The greatest thinker.............kkkkhaaaa
 
Back
Top Bottom