THOBIAS KIFARU "Lugha la Mbwike"

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Hivi huyu Jamaa ambaye ni Afisa habari wa Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar yupo yupoje? Naona huwa hana ushabiki wa kijinga kwenye timu,kama maafisa habari wa Simba na Yanga.
Anastahili kuwa Afisa habari wa T.f.f..
Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom