Thobias Andengenye atangaza ofa ya Tsh 5mln kwa yeyote yule atakayetoa taarifa hii!

Nataka kujua hyo 5mil inatoka kwny bajeti ipi? Inaonekana huyu jamaa alieua polic ana uhasama na polic wote A town. Angalizo, polic wote kimbieni kaz coz anytme R.I.P inawahusu! Kujtoa mhanga kushaanza next time ni white gheto!
 
Wamuulize Lema

Huyu komando anaishi Arumeru kwa yule MB ambaye tangu achaguliwe kwa tiketi sisiem hajawahi weka mguu majengoni kisa anasumbuliwa na gonjwa lisilojulikana na nasikia mwishoni mwa mwaka jana kaelekea India kwa matibabu zaidi. Kwa hili mambo ya MB Lema haimhusu hata punje!
 
RPC Mkoani hapa Thobias Andengenye ametoa ofa ya Tsh milioni tano kwa atakayetoa taarifa ya kusaidia kukamatwa kwa jambazi SUGU aliyeharibu hali ya hewa leo hapa A town kwa kumpelekea Konstebo mmoja wa police kupoteza maisha na jambazi mwenye anaitwa Hendry Samson Kaunda. Tenda hiyoooooooooooo!! Pesa nje njeeee!

Source RFA!!
Ngoja ni-google hilo jina..
Hii milioni tano ya Andengenye inawezaz kukutoa roho, maana kuna uhusiano wa wazi na wa kikazi, kati ya mapolisi na majambazi,
kwahiyo unaweza kufanikisha jambazi akamatwe, Polisi wasio waaminifu wakavujisha siri kwa majambazi wenzie kuwa ww ndio umemchoma mwenzao nawe ukauwawa!
 
kumbe tena ni hawa police wa a town, waliouwa ndugu zetu w3 wakati ule wa maandamano ya amani? iko wapi ile intelejensia ya kubaini uwepo wa huyo jambazi/ mhalifu ama kazi yao ni kubaini mambo yahusuyo amani tu hasa linapokuja suala la maandamano yenye kuleta mustakabali wa nchi ambapo pia hata hao police pia ni wananchi?
 
nikimuona simkamati(hata ningeweza)na wala sitoi taarifa police,..u wanna know why?read my signature,wanaua raia wasio na hatia,wakiuliwa wao wanatoa madonge manono(na hata watakaotoa taarifa watatapeliwa hizo hela)
 
Ukisoma posts za wachangiaji hapa JF unaweza pata ni mtazamo upi wananchi wanao kwa jeshi letu. Hakika jeshi letu lapaswa kubadilika kuwapa wananchi imani nalo yaani To serve and to protect ionekane kwa uwazi kwa wananchi kuwa ndio dira inayoliongoza jeshi hili. Kwa nchi za wenzetu kwa tukio kama hili la askari kuuawa wananchi wangesympatysize zaidi na jeshi lakini hapa Hendry ndio anasafiwa kwa 'heroics' zake. Jeshi letu badilikeni.
 
Hata nikimuona sisemi ng'o... Wao waliuwa wenzetu January 5 last year na mpaka leo hatujasikia hata upelelezi.

What Went Around Last Year, Imeanza Kurudi Around.

R.I.P
 
yaani huyu jambazi mpaka sasa hawajamkata?

yan niji-risk kwa Milioni 5 tu wakati nikila rushwa mara 2 tu nazipata zaidi ya hiyo Mil 5 tena bila hata kuwa na wasiwasi wa kukamatwa na wale wapuuzi wa Taa- kuu- kuu-ru!
 
Nilikuwa nikipita hapa town mtaa wa stend na hata kule mtaa wa desemba nikaona picha ya huyo jambazi Hendry Samson Kaunda imebandikwa karibu kila kuta na hapo nikajaribu kumkagua hata sijawahi kuiona ile sura hapa A town. Yani polisisisiem wana kazi kweli kweli! Tenda hiyo wajamen!!!!!!!!!!!
 
RPC Mkoani hapa Thobias Andengenye ametoa ofa ya Tsh milioni tano kwa atakayetoa taarifa ya kusaidia kukamatwa kwa jambazi SUGU aliyeharibu hali ya hewa leo hapa A town kwa kumpelekea Konstebo mmoja wa police kupoteza maisha na jambazi mwenye anaitwa Hendry Samson Kaunda. Tenda hiyoooooooooooo!! Pesa nje njeeee!

Source RFA!!
kwa jinsi gharama za maisha zilivyopanda, 5mln ni kidogo. Haitoshi kufanyia kitu chochote.
 
Kwa nini hilo dau asiwape manjagu wenzake wenye utaalamu wa kupambana na majambazi? Jambazi na Sisi waandamanaji wapi na wapi? Au kwa nini asitumie ile staili ya kudhibiti maandamano kumsaka?
 
Ktk hali ya kutaka kumjua huyu jambazi sugu aliyechafua hali ya hewa kwa hawa vijana wa polisisisiem ni kwamba Hendry Samson Kaunda hajulikani ktk sura ile hapa A town wajameni. Nimejaribu pale post na tukio lilipotokea Yaani Kwa Ngulelo na washikaji kasema hawajawahi kumsikia mtu kama huyo na nikaenda kw maulizo kama hayo hayo shule ya kata na hakika raia wamemkana Hendry Samson Kaunda kama jina tajwa hapo juu! Ya kwmb kabla ya ratiba tajwa hapo juu!


HAKIKA KAZI IPO!!
 
Back
Top Bottom