Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,260
Tatizo hamtaki kukubaliana na ukweli wa kwamba hata nyie wanawake mna moyo wa kikatili_ndio maana unaleta hoja za kung'ang'aniza ili tu muonekane watu wema na wenye huruma,...hamna kitu hapo kuna wanawake wabaya zaidi wanyama
Igwe,
Sijakataa wapo wakina mama wenye roho ya kikatili kuliko hata simba maana wapo hata hao wanaobeba mimba miezi tisa then wakijifungua wanatupa mtoto but you never know kwa huyu what happened mpaka akawa hivyo "Ugomvi wa mama na baba" utaujulia wapi bana?? Ukienda kwa mama atasema hivi ukienda kwa baba atasema vile but all in all anakumbuka watoto wake na kuwawaza kwa muda fulani