This is why all mama mean nothing to some people!

Unapokuwa mtoto tena mdogo ndipo mahusiano yako na mama yako yanapojengeka, hata kudeka hutokea baada ya wawili hawa kuwa wanahusiana vizuri, kiukweli ndugu ya mama yoyote ni mwanae wa ku mzaa mwenyewe, sasa mama anapokuwa hayupo toka utotoni impact yake huwa ni vigumu kusahihishika.
Step mama yangu alifanya kazi yake vizuri maana hakuna rangi ambayo sikuiona thus y nilikuwa nawachukia wanawake sana.
 
huwa sikubaliani na wazazi wanaoadhibu watoto kwa makosa ya wazazi...they do not have anything to do with whatever that happens between their parents.

kwangu mimi haijalishi mzazi mmoja alimtenda nini mzazi mwingine, watoto hawastahili kuwa neglected, ignored and not cared for kwa sababu yoyote ile ya kuachana kwa wazazi. Matokeo yake ndo kama hivi mnakuza viumbe wenye chuki na visasi mioyoni mwao

Eiyer naamini siku moja/au hata sasa utakuwa mzazi mwenye kubeba majukumu bila kuwa na visingizio vyovyote.
 
Husna,we acha tu,yoyote atakayosema Cathode,does not change the fact that haikubaliki!
 
Kwanza pole sana kwa uliyopitia.
na Pole zaidi kwa kumpoteza baba pamoja na babu..

Nadhani kwa kila mtu ni tofauti
Hii situation yako nimeona sana na
binafsi nimekumbana nayo ila kwa mimi
ni baba ... ni wanawake wachache sana
wanao kataa au kutowatunza wanao lakini
asilimia kubwa nilioongea nao ni baba ndo anaekimbia familia..

Pole sana kwa yaliyokukuta. Nakushauri dont generalize, pia usijudge wamama wote kwa mama mmoja aliyekosa utu. It was bad luck for you, tuna kina mama walio wazuri mmo, potential , care, na wamelea watoto bila hata baba zao.
Pole mno. Muombee kwa Mungu, siku moja atayajutia, though it wil be too late.
 
Thanks bht,hivyo ndivyo ilivyo,leave your "totoz"aside!
 
Pole sana,najaribu kujiweka kwenye viatu vyako,I can feel the pain,miaka 3 bado ni mtoto mdogo sana unahitaji malezi ya pande zote mbili.Sikatai baba nao wanakosea,lakini mama zangu, na dada zangu jambo moja tu nawaombeni,ugomvi wenu wa wewe na baba yasiwe mateso kwa mtoto!Mimi nina dada yangu tumbo moja,walikorofishana na mume wake ambaye ni shemeji yangu ambapo ilimlazimu dada kurudi nyumbani kwetu,wakati huo alikuwa na watoto wawili,mmoja anasoma chekechea na mwingine mdogo almost 3 years!Lakini ilibidi tuwaombe ndugu wa mume wake viongozi wa serikali tukawachukua watoto wote wawili na wote na mama yao wako nyumbani,miaka 4 sasa imepita!

Nakushauri,si kweli kwamba eti humchukii,unamchukia tena sana,ndo maana hauoni heshima ya akina mama na umuhimu wa uwepo wao duniani.Kama wewe ni mkristo nenda kanisani kamuone mchungaji au padre,atakufanyia cancelling na maybe atamuita na mama yako na mtapatana na utatoa kweli msamaha wa kweli,vile kama kama wewe ni muislamu kawaone mashehe msikitini watakusaidieni na moyo wako na maisha yako yatakuwa huru!
 
Pole sana kwa yaliyokukuta. Nakushauri dont generalize, pia usijudge wamama wote kwa mama mmoja aliyekosa utu. It was bad luck for you, tuna kina mama walio wazuri mmo, potential , care, na wamelea watoto bila hata baba zao.
Pole mno. Muombee kwa Mungu, siku moja atayajutia, though it wil be too late.

Hivi unaongelea nini , umesoma vizuri nilichoandika.
pointi yangu ni kwamba wa baba wengi ndo wanaokimbia
familia zao.. na wanawake wachache naomba rudi juu soma tena asante..
 
Kokutona,sijasema wamama wote,ila baadhi ndo maana nimesema "for some people"i do "biliv"there are great mother out there but not all,don't genelize too!
 
Pole sana; I understand every word. I am a woman na mama yetu alituacha tukiwa at the tender age. Mimi nikiwa mtoto niliachiwa jukumu la kulea mdogo wangu ambaye alipofikisha miaka mitatu alifariki nikimbeba; and it is an experience that I cannot forget even after many years. I have sked myself time and again, "why"? I have tried to understand mama atawaachaje wanawe? Mimi ni mama and I cannot understand how on earth I would leave my kids and not see them...I never put back my mom until she died...we grew up with our dad (RIP)....My brothers, my sister and I all got married when she was alive and never attended any of our weddings....so these things, though rare, are there and they leave a great wound to those who are affected. But God can heal your wound...forgive and move forward...be the best parent to your own children.
 
Akami,there is no need of that i can take care of myself,trust me simchukii nazungumza hapa kwa niaba ya wababa ambao the've been great dady an nobody say anything!Shame on us!
 
IGWE,there is nothing to hide,kama kuna wakina mama wasiojijua lazima tuseme,kama hawataki,to hell!

Mkuu imenipa faraja sana kujua kumbe tupo wengi, bahati mbaya mimi nililelewa na mama wa kambo kijijni ingawa kuna wakati alikuwa mzuri wakati mwingine nilitamani kufa kwa mateso hasira zote ziliishia kwangu, dhambi ya mama kuzaa na mume wa mtu niliibeba mimi cha ajabu mama hakuwa na habari na mimi sikuona hata soksi kutoka kwake,hata kuja kunisalimia kujua naendeleaje nilisoma kwa shida tulikutana na mama stendi ya mabasi wanasema damu nzito baada ya miaka 14 sikuwa namkumbuka tena ila alinifananisha ndo ikawa tumekutana baada hapo ilipita tena miaka 5 aliposikia nimejifungua akaja nikasema ni mama yangu labda mtoto wangu atapata kile nilichokikosa kwa mama yangu, weee ilikuwa balaa tu cha ajabu hata mtt wangu hakumpenda ilikuwa ni vituko sana mpk sasa amebaki kuwa mama tu lakini sina kizuri cha kuelezea kuhusu yy.
 
Dena,nani kama mama for what?Kama mtu ameteseka kwa miezi tisa halafu anakufanyia mambo ya ajabu ana maana?Trust me hakufanyiwa lolote baya na baba!I'm sure of that!Awe ni baba yangu wa ukweli ama la i don't care!What i knw ni kwamba alinilea na kunipenda kwa miaka 27 mpaka alipofariki,what else should i care?

Kweli nimeamini unamchukia mama yako, japo ulisema humchukii.
 
I can feel that senorita,i promise myself and anyone here,nitakuwa kama baba kwa wanangu,nitawapenda no matter what!
 
Shreak,tupeane pole!Huu ni uthibitisho kuwa wanawake nao wana ukatili,natamani nipaze sauti dunia nzia isikie,NANI KAMA BABA?
 
Hivi unaongelea nini , umesoma vizuri nilichoandika.
pointi yangu ni kwamba wa baba wengi ndo wanaokimbia
familia zao.. na wanawake wachache naomba rudi juu soma tena asante..

Nimekuelewa mkuu, japo mimi nilikuwa nachangia straight kwa mtoa thread.
Am sorry km imekuja km jibu la comment yako.
 
Pole sana; I understand every word. I am a woman na mama yetu alituacha tukiwa at the tender age. Mimi nikiwa mtoto niliachiwa jukumu la kulea mdogo wangu ambaye alipofikisha miaka mitatu alifariki nikimbeba; and it is an experience that I cannot forget even after many years. I have sked myself time and again, "why"? I have tried to understand mama atawaachaje wanawe? Mimi ni mama and I cannot understand how on earth I would leave my kids and not see them...I never put back my mom until she died...we grew up with our dad (RIP)....My brothers, my sister and I all got married when she was alive and never attended any of our weddings....so these things, though rare, are there and they leave a great wound to those who are affected. But God can heal your wound...forgive and move forward...be the best parent to your own children.

Pole sana inaonekana umepitia mateso makubwa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom