Unajua,wanadamu tumeshindwa kabisa kusimamia nafasi yetu tuliyopewa na Mungu,haya ndiyo matatizo.Badala yake sasa tunafuata mafundisho ya mashetani.Mawazo kwamba mnyama naye anaweza kuwa na haki ni mawazo ya mashetani kabisa ,"whether you like it or not."Kwamba sasa mnyama naye awe na haki kama mwanadamu!Mnyama hana haki yeyote.Mungu ametupa wanyama wa kila aina ili wawe chakula chetu.Sasa "how you prepare does not really matter." Nia hasa ya mafundisho hayo ni kumdhalilisha mwanadama,kumfananisha na mnyama.Kama uko makini na matukio mengi ya sasa utagundua kwamba, karibu yote yana nia moja tu, kumdhalilisha mwanadamu,kwa njia moja au nyingine ili aonekane kwamba si kitu kabisa.Angalia taabu anazosababishiwa mwanadamu tena kwa makusudi kabisa,Congo DRC,Dafur,Afghanistan,Uganda(LRA),Iraq,Zimbabwe na India hivi karibuni na mengi yaliyopita na ambayo nina hakika yanakuja.Unajua, mashetani yameshakuwa "condemed" na Mungu.Sasa yana tuonea wivu.Kwa hiyo yanatumia wanadamu wajinga wasiomjua Mungu kwa kuwadanganya kwa mbinu mbali mbali hasa za kupata fedha na mafanikio katika maisha ili kutesa wenzao. Simamia na kutetea haki za wanadamu wanaoteseka sehemu mbalimbali duniani bwana sio wanyama. Hapo nitakuona wamaana,lakini wanyama,sikuelewi.Mungu anachukizwa na mawazo hayo,epuka!
Wewe umeshatekwa na Freemasons,badala ya kujali wanadamu wenzio unajali wanyama ambao umepewa uwale,nishai sana aisee.
Animals are for our consumption, it does not matter how you prepare them.You should rather care for your fellow human beings in The Congo DRC, Darfur etc.This is hypocrisy.
Mlalamikaji ajue kuwa chanzo ni yeye mwenyewe kumla mbuzi; kitendo cha kula mnyama ndio violence kubwa kuliko zote; yote hayo ni kwa sababu ya binadamu kula mbuzi ( mnyama mwenzi); yaani samaki wakubwa kula samaki wadogo;
Sasa ktk tukio hilo tegemea violence; hayupo mnyama anayependa kukatishwa maisha; na ndio maana hupiga makelele sanan na hatujui hata sala ambazo wanatusalia kwake Muumba wao; ila i know huwa wanapeleka case kwa muumba wao;
ITV wako sawa maana hiyo ndio hali halisi; binadamu tunakula wanyama wenzetu; ni hatari lazima iwekwe hadharani otherwise itakuwa sawa na kuficha ufisadi kwa sababu ulifanyika kwa uficho
mbuzi tu
Uvunjaji wa haki za binadamu, mifugo, n.k. Basi haikupaswa kamwe kuweka/kuonyesha picha picha ya albino aliyenyofolewa viungo/kukatwa mikono. Acha mambo ya wanyama kwanza maliza tatizo la albino.
Hapa hatujafikia kuwa sensitive kiasi hicho, mbuzi tu. Uvunjaji wa haki za binadamu, mifugo, n.k. Basi haikupaswa kamwe kuweka/kuonyesha picha picha ya albino aliyenyofolewa viungo/kukatwa mikono. Acha mambo ya wanyama kwanza maliza tatizo la albino.
Re: This is unacceptable for public view!
Re: This is unacceptable for public view!
Hii picha nimeikuta Ippmedia.com.
Ukweli ni kwamba Ippmedia wamechemsha kuweka hii picha hadharani. Kufanya hivi ni ku-advocate violations of animal rights.
I suggest wapigwe fine for putting such a brutal picture hadharani.
Mods naombeni muifungue hiyo picha. Pia kama hii mada hapa sio mahala pake, basi msisite kuihamisha kunakostahili
Hivi mtoto aliye chini ya umri wa mingapi utamzuia kushuhudia uchinjwaji wa mbuss au kuku?
...jamani eeh, mnamkejeli bure QM, yeye amesema na namnukuu;
...ujumbe gani hapo ulio mgumu? yeye hayo ni mawazo yake kulingana na picha hiyo, wewe picha hiyo inakuonyesha nini? au wewe unaona mbuzi, watu na "pilau" tu?
Huoni kuna;...utumiaji wa nguvu? kisu? damu inamwagika? uhai? machungu? kifo?
kabla hamjamtoa ngeu ndugu yangu QM, rejeeni title ya habari hiyo, na ujiulize tena, JE? public viewers wanahitaji kuona hilo (bila ridhaa yao)?
It's disturbing to some of us.
LazyDog, kwa ufahamu wangu ...old enough to realise the do's and dont's (i.e we dont slaughter just for the joy of killing), and who understands NOT to imitate the action on others kids, kama mtoto Ramadhan "alivyomchinja" Salome.
Mchongoma umenikumbusha uchungu wa yule mtoto wa kislam aliyemchinja mtoto wa kikristo. Uchungu uchungu uchungu. Waslam wanafundishwa kuchinja kuelekeza huko maka kwao kwenye jiwe jeusi hivyo chochote hata binadam wanachinja. Uchungu uchungu uchungu uchungu uchungu.
RIP Salome.
Mchongoma umenikumbusha uchungu wa yule mtoto wa kislam aliyemchinja mtoto wa kikristo. Uchungu uchungu uchungu. Waslam wanafundishwa kuchinja kuelekeza huko maka kwao kwenye jiwe jeusi hivyo chochote hata binadam wanachinja. Uchungu uchungu uchungu uchungu uchungu.
RIP Salome.
" A man who strays from the path of understanding
comes to rest in the company of the dead"
-proverbs 21:16
...Waslam wanafundishwa kuchinja kuelekeza huko maka kwao kwenye jiwe jeusi hivyo chochote hata binadam wanachinja. Uchungu uchungu uchungu uchungu uchungu.
RIP Salome.
"When they reached the place God had told him about, Abraham built an altar there and arranged the wood on it. He bound his son Isaac and laid him on on the altar. Then he reached out his hand for his knife to slay his son..."
Genesis 22:9-10
"Do not judge, or you too will be judged
matthew 7:7
...Waslam wanafundishwa kuchinja kuelekeza huko maka kwao kwenye jiwe jeusi hivyo chochote hata binadam wanachinja....
Kwa kuwa nyinyi wakristo... mnakula nyama ya binadam mwenzenu mnafikiri kila mtu yupo hivyo...!?
Mbona unakuwa offended kirahisi?