Ila hiyo njemba hapo inamshukuru sana huyo mchina ,maana kama ingetumika Pinda Version(CCM Vol.PM2) ,wangekwisha mpeleka muchwari.sasa kibaka popote duniani ni wakushughulikiwa tu!
Iwe Bongo, Nairobi au Beijing!
sasa kama utawala wa sheria Bongo kidogo..unategemea nini?
Ila hiyo njemba hapo inamshukuru sana huyo mchina ,maana kama ingetumika Pinda Version(CCM Vol.PM2) ,wangekwisha mpeleka muchwari.

A Chinese man grabs a suspect by the shirt after he accused him of pick pocketing on samora Avenue in dare s salaam yesterday. Mnaoishi karibu na Zawadi saluni hamkuiona hii ?

You bet! The guy is very lucky. Kakamatwa na mtu asiyependa kujichukulia sheria mkononi. Ana bahati kweli kweli. Hiyo ingekuwa mtaani kwetu, watu tungemuomba mchina atuachie tupashe kidogo. Then tunamrudishia mwizi wake akiwa hajiwezi.
Nimeangua bonge la cheko baada ya kui study hii picha vizuri. Huyu mswahili mwenzetu anaonekana ni bonge la mtu ukimlinganisha na huyo mchina, am sure kama angekuwa amedakwa hivyo na mswahili mwenzie angefight back, lakini kwa kuwa ni rangi nyeupe na anadhani kila mchina ni Bruce Lee, jamaa kawa mpole kichizi!
Mkubwa hiyo kabali aliyopigwa ilikuwa balaa jamaa akawa hana ujanjaNimeangua bonge la cheko baada ya kui study hii picha vizuri. Huyu mswahili mwenzetu anaonekana ni bonge la mtu ukimlinganisha na huyo mchina, am sure kama angekuwa amedakwa hivyo na mswahili mwenzie angefight back, lakini kwa kuwa ni rangi nyeupe na anadhani kila mchina ni Bruce Lee, jamaa kawa mpole kichizi!
Mkubwa hiyo kabali aliyopigwa ilikuwa balaa jamaa akawa hana ujanja
Hamna bana....ilitakiwa jamaa hapo ageuke na kumpiga kipepsi cha nguvu huyo Mchina....mwenyewe angeachia huo mkunjo
Kweli kabisa aisee. Huyo jamaa nahisi kichwani mwake alikuwa anadhania atapigwa kung-fu kaa zile za kwenye sinema.
Hapo angemdindia huyo Mchina na kuanza kuzipiga naye usikute angeweza kumnyuka.
Nilichogundua katika MMA (Mixed Martial Arts) hawa ma Orientals hawafanyi vizuri kama tulivyokuwa tunadhania zamani...eti kila Mchina au Mjapani anajua kung fu au karate. Hata kama akiwa anajua, kwenye streetfight hakuna cha kung fu, karate, muay thai au jiu jitsu....kwenye streetfight anything goes.....from hand to hand combat, to kung'ata, kupiga au kupigwa mtama, kabali (guillitone choke), ngumi, kubinya kende, ground and pound, and the list goes on....cha muhimu ni kuwa na ujasiri wa kuzipiga tu.

Nyani usiombe kubambwa ,maana kwa kweli unakuwa huna nguvu wala ujasiri halafu sehemu yenyewe ndio hapo ,jamaa akitania tu umemalizwa, yaani kama kujitetea wangejitetea wengi. ila huyo jamaa anaonekana mnyonge kabisa na kichwa ameinamisha ,nafikiri hata wenyeji walishikwa na butwaa kwa jamaa alivyonywea maana kama angejaribu kwenda kibabe kichwa juu mara angeshitukia missile inatua kwenye kichwa japo yupo chini ya himaya nakumbuka jamaa alipigwa kitofa huku akiwa ameshikiliwa na polisi ,jamaa walifikiri polisi angemuachia na kumfuata alierusha kitofa ,lakini polisi akabaki nae tu....Usiombe hata kama unajua uchawi siku hiyo hautokusaidia kitu si unaona mafisadi wanavyorusha unga bungeni.
Kweli kabisa aisee. Huyo jamaa nahisi kichwani mwake alikuwa anadhania atapigwa kung-fu kaa zile za kwenye sinema.
Hapo angemdindia huyo Mchina na kuanza kuzipiga naye usikute angeweza kumnyuka.
Nilichogundua katika MMA (Mixed Martial Arts) hawa ma Orientals hawafanyi vizuri kama tulivyokuwa tunadhania zamani...eti kila Mchina au Mjapani anajua kung fu au karate. Hata kama akiwa anajua, kwenye streetfight hakuna cha kung fu, karate, muay thai au jiu jitsu....kwenye streetfight anything goes.....from hand to hand combat, to kung'ata, kupiga au kupigwa mtama, kabali (guillitone choke), ngumi, kubinya kende, ground and pound, and the list goes on....cha muhimu ni kuwa na ujasiri wa kuzipiga tu.
Kweli kabisa aisee. Huyo jamaa nahisi kichwani mwake alikuwa anadhania atapigwa kung-fu kaa zile za kwenye sinema.
Hapo angemdindia huyo Mchina na kuanza kuzipiga naye usikute angeweza kumnyuka.
Nilichogundua katika MMA (Mixed Martial Arts) hawa ma Orientals hawafanyi vizuri kama tulivyokuwa tunadhania zamani...eti kila Mchina au Mjapani anajua kung fu au karate. Hata kama akiwa anajua, kwenye streetfight hakuna cha kung fu, karate, muay thai au jiu jitsu....kwenye streetfight anything goes.....from hand to hand combat, to kung'ata, kupiga au kupigwa mtama, kabali (guillitone choke), ngumi, kubinya kende, ground and pound, and the list goes on....cha muhimu ni kuwa na ujasiri wa kuzipiga tu.
...kwenye streetfight hakuna cha kung fu, karate, muay thai au jiu jitsu....kwenye streetfight anything goes.....from hand to hand combat, to kung'ata, kupiga au kupigwa mtama, kabali (guillitone choke), ngumi, kubinya kende, ground and pound, and the list goes on....cha muhimu ni kuwa na ujasiri wa kuzipiga tu.
we nyani unaijua hiyo michezo lakini au unayajua majina yake tu??
usicheze bana wee,master ni master to popote pale...
mimi nilicheza mpaka yellow belt lakini layman yeyote alikuwa hawezi kunigusa,wala jamaa wa boxing,ni kichapo tu
wacha kabisa na hayo mambo ndugu yangu hasa ukikutana na mtu aliyetoka dojo zuri