Umechanganya habari st john are under anglican church na st joseph is under sisters of daughters mary
Ok...
Umechanganya habari st john are under anglican church na st joseph is under sisters of daughters mary
Ok...
Mkuu Makamuzi , habari za St John unazileta za nini hapa , mada ni kuhusu St Joseph , technology and Engineering university
Poor quality of Engineer from St. Joseph. Wajua kuwa kuna waliomaliza hapo hawana hata cheti cha diploma, ftc wala A level?JAMANI WATANZANIA WENZANGU NAJUA WENYE UPEO MDOGO HUZANI HIKI CHUO KIONATESA WANAFUNZI ILA NIMEFANYA UCHUNGUZI NA KUBAINI YAFUATAYO KATIKA CHUO HIKI
-NI CHUO NAMBA MOJA TANZANIA AMBACHO WANAFUNZI NA WAAADHILI WAKE WAKO MORE SERIOUSLY COMPARE TO OTHERS,RUSHA YA NGONO,PESA,MADESA HAYANA NAFASI PALE
-THEY PRODUCE NOT ONLY ENGINEER BUT DISPLINATORY ENGINEER(wajinga wanasema wananyanyaswa0
-their good in practically and theoretically tena kwenye it ndo huwapati kabisa
HII NDIO JINSI WANAVOBANA WANAFUNZI WAO
-ASSIGMENT 80 YTO EACH STUDENT AND 10 TO EACH SUBJECT
-WANA MITIHANI 32 TO EACH SEMEASTER
-WANA ZAIDI YA PRACTICAL 20 TO EACH RESPECTVE SUBJECT
-WANA MTIHANI WA ORAL TOFAUTI NA VYUO VINGINE
SASA KUNA WALE WANAOKISEMAGA HIKI CHUO NI KIBAYA NIAMBIENI UBAYA WAKE UKO WAPI HAPO,NINAVOANDIKA HII NI KWAMBA WAO BADO WAKO CHUONI INGAWA VYUO VYOTE VIMEFUNGWA DUE TO COMPETANCE SYLABUS
WATANZANI TUJIFUNZE KWA HAWA WENZETU;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;MIAKA MITATU HIKI CHUO KITATISAHA TANZANIA NZIMA,WAKATI VYUO VYETU VINAZIDIKUPOROMOKA
Yaani kwa hii analysis yako si rahisi kunishawishi kwamba product ya hicho chuo ni wazuri kiasi hicho kama unavyotaka jamii iamini. Siyo kweli napingana na ubora wake, lkn nikisoma andiko lako kwa makini nahisi harufu fulani ya strategic marketing kwa ajili ya chuo chenu. Si ajabu umelipwa kwa ajili ya kazi hiyo ili kuweza kuonyesha reputation ya chuo katika jamii. Ni nani aliyewadanganya kwamba ubora wa elimu unatokana na kukaa darasani muda mrefu? na nani kasema kwamba kufanya mitihani mingi inaonyesha ubora wa elimu? Katika hali ya kawaida, kuwa na mitihani, tests na assignment nyingi ndani ya muda mfupi huchangia kwa kiasi kikubwa sana wanafunzi kufikiria cheating na kukariri masomo na si kuelewa.
Nawafahamu baadhi ya waalimu wa hicho chuo, ni kweli wanarequired qualifications, lkn shida kubwa waliyonayo ni kukosa motive ya kufanya kazi kwa ufasaha kwasababu hao wahindi malipo yao yako chini sana kulinganisha na vyuo vingine hapa Tanzania. Hivyo, baadhi yao wakipata sehemu nzuri wanaondoka, kwani ni nani mwenye uwezo anayeweza kuvumilia kuvuja jasho halafu malipo kiduchu?
Hatahivyo, ni bora uwe na kitu kilichoshiba hasa unapotaka kufanya marketing kwenye media, kwani unaposema research ndiyo imekupa majibu hayo, mtu makini atakuona wewe ni muongo. Nasema hivyo kwasababu wewe mwenyewe ni mwanafunzi na hadi sasa bado mko chuoni, je hiyo research yako ilihusu chuo chako na vyuo gani? na kwanini unahitimisha kwamba chuo chako ni bora kuliko vingine tofauti na tafauti zinazofanywa na international agency? ni lazima uwe na strong point kwa ajili ya kujustify findings zako. Otherwise, utaonekana huelewi nini maana ya tafiti na mwisho wa siku hata zile report mnazoandika baada ya practical training mnaziita publications kama baadhi ya wabunge wetu.
TELO.
Uchambuzi usio na defence yoyote zaidi ya aibuJAMANI WATANZANIA WENZANGU NAJUA WENYE UPEO MDOGO HUZANI HIKI CHUO KIONATESA WANAFUNZI ILA NIMEFANYA UCHUNGUZI NA KUBAINI YAFUATAYO KATIKA CHUO HIKI
-NI CHUO NAMBA MOJA TANZANIA AMBACHO WANAFUNZI NA WAAADHILI WAKE WAKO MORE SERIOUSLY COMPARE TO OTHERS,RUSHA YA NGONO,PESA,MADESA HAYANA NAFASI PALE
-THEY PRODUCE NOT ONLY ENGINEER BUT DISPLINATORY ENGINEER(wajinga wanasema wananyanyaswa0
-their good in practically and theoretically tena kwenye it ndo huwapati kabisa
HII NDIO JINSI WANAVOBANA WANAFUNZI WAO
-ASSIGMENT 80 YTO EACH STUDENT AND 10 TO EACH SUBJECT
-WANA MITIHANI 32 TO EACH SEMEASTER
-WANA ZAIDI YA PRACTICAL 20 TO EACH RESPECTVE SUBJECT
-WANA MTIHANI WA ORAL TOFAUTI NA VYUO VINGINE
SASA KUNA WALE WANAOKISEMAGA HIKI CHUO NI KIBAYA NIAMBIENI UBAYA WAKE UKO WAPI HAPO,NINAVOANDIKA HII NI KWAMBA WAO BADO WAKO CHUONI INGAWA VYUO VYOTE VIMEFUNGWA DUE TO COMPETANCE SYLABUS
WATANZANI TUJIFUNZE KWA HAWA WENZETU;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;MIAKA MITATU HIKI CHUO KITATISAHA TANZANIA NZIMA,WAKATI VYUO VYETU VINAZIDIKUPOROMOKA
..utakuwa unaumwa tumbo.! wahi chooni kapunguze uchafu.St John inatumia wahadhiri kutoka udom,karibu kila department..
Vipanga wengi nimasikini st Joseph wanasoma wenye ela.Ni muda muafaka sasa kwa St Joseph kuhakikisha wanachukua vipanga wengi ili kuondoa dhana ya kwamba wanachukuwa wanafunzi ambao hawakubahatika kwenda UDSM (Coet or Coict)
Wanagawa,sema watz wenhi nimasikini hawana pesa yakulipia ada.Ndiyo chuo kinachoongoza kwa kugawa first class kama pipi.
Hongera mkuu kwakuwa wewe unaonekana ulikuwa unavijua,but St Joseph hawaruhusu wanafunzi wao wa mwaka wa kwanza kwenda field.Kwahiyo hao ulio kuwa nao ndio field yao ya kwanza.Lakini wasubili mkikutana kwenye interview ndio utajua kuwa wanajua au hamna kitu!.kwako msomi wa st. Joseph, ulitakiwa useme competent syllabus
sio competence syllabus.
by the way, mwaka jana nilifanya field na wanachuo wa st. Joseph wa mwaka wa pili civil engineering, hakuna walichokua wanakijua. hawakua na tofauti na first year wa vyuo vingine. lakini pia kuwepo chuo mpaka sasa hivi ni ratiba tu za chuo husika, haina uhusiano na kua competent! wenzako wa UDOM pia bado wapo chuo mpaka sasa, je na wao ni bora kuliko vyuo vingine vilivyo fungwa?