Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,854
- Kukupa thanks yangu maana yake ni moja tu kwamba nina-approve message yako nilipokupa kwenye ile hoja yako ilikuwa na maana ya kukubali hoja yako kwamba hutumwi, sasa usiite wengine tena jina lile lile uliloliktaaa, eti wanatumwa au wakawaulize waliowatuma.
Ahsante.
FMES!
Kwa hiyo kila Mzee Mwanakijiji akinipa Thanks ni kwa sababu anakubaliana na mimi? Sasa kwa nini ananishukuru halafu ana-refute mchango wangu? Kwa maudhi zaidi, kila anapoiweza, anachambua kila point na kuikosoa!
Mimi nilidhani Thanks ni asante kwa mchango wenye uzito hata kama haukubaliani nao.
Niliishasema, I am not holding my breath kwenye wewe kwenda kuweka ushuhuda. Sishangai.
Sijawahi kumwambia mtu kuwa ametumwa au akamuulize huyo ALIYEMTUMA! Mbona unataka kuleta usanii?
Amandla.....
Last edited: