This is my future house...Whats yours?

Noja nijaribu haka......maana tatizo wakati wengine tunahitaji pa kulala wengine mwatafuta pakuishi

kerala-home-design-thumb.jpg

Naam, hapo umenena mkuu.
 
Mkuu mwenye hii ndoto, without disrespecting you or your dream, nitakukumbusha unionyeshe unapoishi baada ya miaka 30 toka sasa. Nausave huu uzi for future reference.

Najua inawezekana, mbona Ridhiwani ameweza? Tena ndani ya miaka 3 tu kawa multi bilionea huku akiwa hajafikisha hata miaka 35.

Tanzania Tanzaniaaaa

Nakupenda kwa moyo woteeee
 
Akili ni nywele kila mtu anazake. Kama hizi ni akili zako na kweli umeagiza ramani toka USA naomba nikushangae tu nisikupe hongera wala kukulaumu maana sijui chanza cha mapato yako. Ingekuwa hiyo avator ndoo sura yako halisi, ningeuliza swali la kizee kwa kizungu, At your age, where did you got that kind of money? Otherwise I'm meant to understand that you are real "young master" doing 419 business. Goodluck
Mimi niliweka kawimbo haka...Watu wengine bwana........watu wengine bwana........Watu wengine bwana..........Nikajua jamaa anaota akanitoke kwa swali ninachupa ngapi kichwani??
 
Mie hata sijui mkuu...wewe chukua hiyo picha halafu kawaonyeshe wachanganya rangi...watakuchanganyia hadi utapata hiyo rangi.

mkuu kiwanja chako kipo maeneo gani..? na ukubwa gani..! ukikomaa ndoto zitatimia..
 
Let your idea becomes a master, and the money becomes your slave then drive the money whatever you like...all the best!
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom